mcTobby
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 7,596
- 21,868
Imekuathiri vipi kwa maisha yako ya ukubwani?.
Je umekulia kwenye familia ambapo wazazi
Tupeane uzoefu na kuhusiana na mada na njia za kudhibiti toxic parenting .
Je umekulia kwenye familia ambapo wazazi
- Walikuwa na excessive controls na kukudhibiti kwa kila hatua yako ya ukuaji kiasi cha kukuathiri kisaikolojia?
- Wanatumia njia ya kukunyima chakula, kukunyima usingizi na kukufanyia body Shaming kama adhabu pale unapokosa hata kama kosa lenyewe ni dogo?
- Wanakutumia kama kama njia ya kujiingizia kipato kwa njia ya udanganyifu n.k?
- Ambao walikufanyia bullying na kukutukana na kukutamkia maneno mabaya kiasi kwamba yana ku "Hunt" hadi leo?
- Ambao walikuwa wanakuadhibu kwa njia za kikatili mfano kupigwa kichwa kikiwa chini miguu juu ?
- Ambao walikunyanyasa na kukudhulumu kingono? (Hususani kwa wale waliokuwa na wazazi wa kufikia :step family)
- Wakijamba wakubwa wewe mdogo unaangushiwa kipigo heavy?🤨🤨
Tupeane uzoefu na kuhusiana na mada na njia za kudhibiti toxic parenting .