Nchi za Ulaya na Marekani ukisoma kuna uwezekano uanzie maisha huko huko, Ajira zipo kibao
Unaenda kusoma China, India, Malaysia, Thailand, Indonesia, n.k. halafu hauna connection wakati wenyeji...
Kwanza Nikiri kuwa mimi ni mnufaika wa Mfuko wa Bima ya Afya NHIF,
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umekuwa nguzo muhimu ya ustawi wa afya nchini, lakini kwa sasa unakabiliwa na changamoto...
Nimefika mjini Vladvostok juzi juzi nikakaa hotel inaitwa Napol, nikiwa katika mazungumzo ma dada mmoja kwa jina Elizabeth , anasema kuwa wao warusia hutuchukulia kama watu wasio seriouse kwenye...
Helloo mko njema hapa jamani?
Nimepachoka Tanzania nikaamua nifanye michakato yangu kwenda Ukraine au nchi yeyote ya nje,
Kwa bahati nzuri kuna kanisa moja limeniita nikalee wazee kwenye kituo...
Hello wakuu habari za siku mbili tatu,
Jamani mimi ni kijana Mtanzania ambaye nimekulia Tanzania, nimesomea shule zote Tanzania mpaka elimu ya chuo kikuu.
Kwa bahati mbaya sikumaliza mwaka wangu...
wadada kunengua viuno hadharani mbele ya umati wa watu katika maonesho ya nanenane jijini Mwanza ili wapewe vitenge ,T-shirt , na kofia za voda na cocacola inaonesha taswira mbovu ivi waume zao...
Taarifa zisizo rasmi ni kwamba baadhi ya ofisi za umma wameelekezwa kuanza kutumia Yas. Kwahiyo shirika letu la umma ambalo awamu ya 5 ilijitahidi kurirudisha kwenye ushindani sasa mambo ni...
Leo, jina lako lina-trend katika jukwaa lipi? La Siasa, la Habari na Hoja Mchanganyiko au International Forum?
Ukitubu leo na kuamua kuokoka, jina lako lita-trend mbinguni. Na huko sio ku-trend...
Habari wanajf,Nipo hapa Dodoma ingawa mwenyewe ni mwenyeji wa Mbeya.Nimeishi hapa Dodoma kwa zaidi ya miaka kumi(10)na kubahatika kuoa mgogo,nimegundua kwamba wapo vizuri kwa jografia!Ukiwa mgeni...
Wakuu mnamkumbuka Mahita? Aliemzalisha House Girl halafu akakataa kuhudumia?
Mbali na hiyo, siku hizi unakuta katoto kana miaka 11, 12 tayari ni kahouse girl hata kupika hakajui. Mataso...
Watu wawili wanaodaiwa kuhusika na mauaji ya kijana mmoja, jinsi ya kiume ambaye awali hakutambuliwa huku kiwiliwili chake kikiwa kimetenganishwa na kichwa chake kwa kukatwa na kitu chenye ncha...
Hamjambo!
Leo sitakuwa na maneno mengi.
Ukiwa na milioni Moja hizi ni biashara unazoweza kuzifanya;
1. Fundi Nguo!
Chukua sherehani tatu za 250,000/= inayobakia tafuta Frem ya elfu 50. Nunua...
Leo sitaki kugusia matendo ya uzinzi yanayofanywa na wake wa watu wakiwa kwenye safari za kikazi au wakiwa kazini. Ninataka nigusie zaidi suala la uwajibikaji ambao mwanamke anapaswa kuwa nao kwa...
Wa Salaam ndugu.kuna hawa waarabu wanapita na magari mashuleni. Wameniuzia home Thearte ya watts 210 ila napenda kujua tofauti ya Sound Bar na Home Theatre.
Walinianzia 550,000 ila wakanipa kwa...
Wadau Habari,
Jana nikiwa nje ya nyumbani nilipigiwa simu na mke wa rafiki yangu.Akanieleza kuwa ameingia kwenye chumba cha mtoto wake wa kiume kufanya usafi amekuta kuna Boxa na kaptura...
Ukisoma historia ya Rockefeller Family .
Unaona kabisa lipo swala la kujifunza sisi watu weusi au blacks.
Juzi nimeangalia Familia ya Job Ndugai naona kabisa Changamoto. pamoja na ukwasi wa...
Wote wanaoona kiingereza ni kigezo/kikwazo kwa Babalevo kwenda bungeni hawana hoja kwani bungeni kuna wakalimani wa lugha mbalimbali lakini hata hivyo sidhani kama wabunge wa...
Sasa hivi kila Mtanzania ukiacha machaww wa CCM ndio hawana uoga juu ya kupoteza maisha yao.
Uhuru tuliousaka toka kwa Mjerumani na Muingereza umetoweka.
Haki ya kujadili masuala ya taifa letu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.