Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,638
- 697,929
Ni sekta isiyovuma lakini yenye kipato cha kueleweka na vijana wengi wamejiajiri na wengine wamepata connection kupitia bustani za maua na maua
Ua ni pambo la asili lenye kuburudisha, kutuliza mihamaniko ya maisha, kukupa amani na utulivu wa nafsi lakini ni chagizo pia na kichokoo cha kukua na usafi wa Kiroho
Lakini katika hayo hayo maua kuna yenye baraka, yenye ulinzi lakini pia yenye nguvu hasi
Kupitia mada hii tutaelezana mengi kuhusu bustani za maua, aina za maua na nguvu zake Kiroho hasi au chanya
Mideko
Sent using Jamii Forums mobile app