Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ujue kipindi JF imefungiwa hatukujua kama kupitia VPN unaweza Ku access so tukahamia Facebook na insta kidogo. Sasa kiukweli Nina wasanii ambao nimewa follow wa comedy ila cha ajabu kila siku...
1 Reactions
8 Replies
447 Views
Kwa masikitiko makubwa, sisi wakazi wa Kinondoni tunapaza sauti zetu kulalamikia kitendo cha kumegwa kugawiwa kwa sehemu kubwa ya uwanja wa wazi wa Biafra kwa mfanyabiashara binafsi ambaye tayari...
3 Reactions
53 Replies
3K Views
Ni kitambo kidogo kimepita namkumbuka mwalimu wangu mmoja makamo ya 50s hivi. Siku hiyo baada ya lecture akaanza kutupa story za maisha Alisema yeye alipata misiba inayofuatana ya mama, baba...
46 Reactions
270 Replies
34K Views
Maisha yamekosa jema kwangu, yamekosa huruma kwangu. Maisha yangu yamekuwa kama utani wa watoto wa chekechea. Nashangaa kwanini sifi
7 Reactions
190 Replies
20K Views
Habari zenu wakuu, Nauliza ni minada ama magulio yapi hapa Tanzania ipo vizuri ki biashara yaani ina amsha amsha. Asilimia kubwa kila mkoa ina minada yake, je ni mkoa upi minada yake huwa iko hot...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Hivi umewahi kukosa hela na huku unanuka madeni mpaka ukatamani hata mtu akosee kutuma mpesa, au tigo pesa, ili hela ije kwako? Au ukatembeatembea ukiamini unaweza hata okota hela mtu...
95 Reactions
404 Replies
45K Views
-Ruling party stalwarts asking more and more questions CORRUPTION allegations surrounding business tycoon Rostam Abdulrasul Aziz, who holds senior leadership positions in Chama Cha Mapinduzi...
0 Reactions
19 Replies
6K Views
Salaam. Kuna wadudu wako kama funza wakubwa wanaishi kwenye mbao, kwa Kizungu wanaitwa Powderpost beetles, wakila kama ni kochi au kiti utaona tu unga mlaini kama powder imedondoka chini na pia...
4 Reactions
95 Replies
7K Views
Wakuu nimeonelea kushare nanyi riwaya hii Bora kutoka kwa mwandishi mahiri wa maabdishi bunifu aitwaye Maundu Mwingizi. Mwandishi wa riwaya hii anaisimulia kupitia ukurasa wake wa Facebook uitwao...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Na wenye Akili tunajua kuwa huyo FISADI Mwenzako mwenye Makazi mengi Dar es Salaam achilia kule kulikotupwa Kitovu chake Bagamoyo ndiyo amekutuma uharakishe kufanya Press ili kusafisha Upepo, ila...
17 Reactions
28 Replies
2K Views
Wakuu leo naomba kuleta Story yangu ya kweli ya jinsi nilivyokwenda South Africa bila kuwa na ndugu kule wala mtu wa kunipokea. Ukweli kuna wakati ilifika nilichoka sana maisha ya hapa nyumbani...
73 Reactions
3K Replies
1M Views
Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, David Misime amesema Jeshi hilo linamtafuta mwanamke aliyeonekana katika picha mjongeo inayosambaa mitandaoni akimnywesha pombe mtoto mdogo na kumtaka atakapoona...
4 Reactions
21 Replies
1K Views
Hii CRDB mnatutendea vibaya sana! 😡 Jana mmekata hela kutoka kwenye akaunti yangu bila idhini yangu. Hata mbaya zaidi, nimetuma hela kwenda M-Pesa na hazijafika wala kurudi tena kwenye akaunti...
5 Reactions
12 Replies
909 Views
BODI YA ITHIBATI YA WAANDISHI WAHABARI UFAFANUZI KUHUSU WANAODAIWA KUWA WAANDISHI WAHABARI KUSHIKILIWA NAJESHI LAPOLISI MKOANIARUSHA Dar es Salaam 12 Septemba, 2025 Kwa mujibu wa Kifungu cha...
2 Reactions
8 Replies
541 Views
VPN au VIRTUAL PRIVATE NETWORK ni teknolojia ambayo inakupa ulinzi na usalama wakati unatumia Internet hususani Public networks au mitandao ya Umma . Kwa kifupi inazuia kuonekana utambulisho wa...
4 Reactions
31 Replies
3K Views
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam linawashikilia watu 15 kwa tuhuma za kukutwa wakitumia namba za SSH 2530 kwenye magari. Kukamatwa kwa watuhumiwa hao ni sehemu ya utekelezaji onyo la...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Anonymous
Nimefika ofisi za NIDA mara kadhaa kila mtu anayetaka kufanya malipo ya kitambulisho analalamika mfumo wa control number unasgida wiki ya pili sasa na wahusika wanakuja kazini na kurudi nyumbani...
0 Reactions
1 Replies
559 Views
Wakuu nimeanza kupata rashes zinawasha sana!! Ni week ya 2 tangu nijichanganye kwene ngono zembe vip inaweza kua dalili ya HIV Ushuhuda mzuri kutoka kwa wenye HIV au waliowai pata hili tatizo
13 Reactions
180 Replies
7K Views
Asante Mungu kwa nafasi nyingine madhara yangeweza kuwa makubwa kama kupoteza uhai ama kiungo chochote lakini umeamua kunipa majereha ambayo nimeweza kuyahimili na lesson kadhaa juu ya kuendesha...
13 Reactions
46 Replies
2K Views
Kuna tabia mpya imezuka nchini ya kuwalalamikia vitendo vya watu wanaopiga na ku-post picha za wapendwa wao wakiwa tayari wamefariki.....aidha wakiwa kwenye jeneza, kwenye matukio ya ajari au...
3 Reactions
8 Replies
882 Views
Back
Top Bottom