One of the income generating acitivity in the city of Dar es salaam is selling seedlings and flowers. When moving along Morogoro road you will see a lot of people selling seedlings/plants of...
President of the Revolutionary Government of Zanzibar, Amani Abeid Karume receives a souvenir from US Actor and Musician Will Smith in Zanzibar State House yesterday.(Photo by Ramadhani Othman...
Hili ni kwa wale wote wenye mapenzi !!!nikiwa katika concert la P SQURE
Kulikuwa na mambo mengi ya ajabu mengine ambayo ni lazima yawepo
katika jamii ila hili kidogo lilinishtua!!!!jamani...
MKUU ACHA KUCHEZA NA MAISHA YA WATU HUU SI UTAWALA WA KIFALME KAMA UNAVYODAI UKIJIUZULU UTAFUTIWE MBADALA WEWE UNAWEZA KUTAFUTA MBADAKA NA MAITI ZA WATOTO WASIO NA HATIA WALIOATHIRIKA NA...
Tazara on the brink of collapse as managers get changed
Written by DANIEL SAID
THE CITIZEN
Saturday, 30 August 2008
DAR ES SALAAM, TANZANIA- All is not well at the...
Seif fans flames of Union debate
CUF secretary-general Seif Shariff Hamad.
By Salma Said, Zanzibar
THE CITIZEN
The debate on the status of Zanzibar in the Union has resurfaced again...
Nimekuwa nikiangalia kwa mshangao mambo mengi yanayoendelea Tanzania.Kwa mshangao, kwa vile tunafanya mambo yetu utafikiri wote kesho tutakufa,yaani kwa kimombo 'we will all be dead tomorrow'.Hivi...
Waziri mwakyusa"ajiuzulu"
--------------------------------------------------------------------------------
MKUU ACHA KUCHEZA NA MAISHA YA WATU HUU SI UTAWALA WA KIFALME KAMA UNAVYODAI...
Richmond:Ikulu yatoa tamko hatima ya Dkt. Hosea, Mwanyika
Na Timu ya Majira Jumapili
SIKU chache baada ya Waziri Mkuu, Bw. Mizengo Pinda kuwasilisha Bungeni taarifa ya Serikali juu ya...
Mimi ni muuguzi niliyemaliza shahada ya uuguzi katika chuo kikuu cha sayansi za Afya Muhimbili MUCHS sasa kikiitwa MUHAS. Nina zaidi ya miaka 5 tangu nimalize chuo, lakini sina ndoto za kuajiriwa...
Licha ya kashfa nyingi ambazo zimeiandama serikali ya CCM inaonekana kana kwamba Watanzania siyo tu tumekuwa wavumilivu bali pia tumekuwa hatusikii tena maumivu kwani tumekuwa kama tuliopigwa...
Kasheshe ya chanjo ni nzito.Kwa wale ambao hamtaki kusoma mmekaa tu kama mazumbu koko,lazima mtaona sakata la chanzo ni jipya!Kwa sisi wengine hakuna jipya hapa.Hata wadau wenyewe wa mkakati wa...
The Research on Poverty Alleviation (REPOA) has revealed that corruption in the country has drastically declined over the past five years. REPOA conducted research in six sample districts and...
These are the same people whose policies destroyed many countries in this World
IMF chief backs Kikwete on EPA
Correspondent in Washington
Daily News; Sunday,August 31, 2008 @18:01
The...
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Profesa David Mwakyusa, amesema ushauri wa kutakiwa kujiuzulu kufuatia matatizo yaliyojitokeza ya watoto kuzirai baada ya kupewa dawa za chanjo ya kichocho na...
KANISA la Kilutheri Tanzania (KKKT) Mkoa wa Mbeya, limeanzisha mradi wa hifadhi ya wanyamapori kwa ajili ya kuendeleza sekta ya utalii nchini.
Mchungaji wa kanisa hilo, Markus Lehner ambaye...
JK agonga mwamba
na Mwandishi Wetu
Tanzania Daima~Sauti ya Watu
SASA ni dhahiri kuwa kauli aliyoitoa Rais Jakaya Kikwete kuhusu hadhi ya Zanzibar katika Muungano haijawaridhisha...
Date::8/30/2008
Kikwete umeshindwa EPA, tunakusubiri Richmond
Na Joyce Mmasi
Mwananchi
HATIMAYE ile taarifa ya utekelezaji wa maazimio ya bunge kuhusu zabuni ya umeme wa dharura iliyotolewa kwa...