Gardens along morogoro road

Mhache

JF-Expert Member
Jun 20, 2008
345
24
One of the income generating acitivity in the city of Dar es salaam is selling seedlings and flowers. When moving along Morogoro road you will see a lot of people selling seedlings/plants of different kind. At the same time you will see different people parking their car along the road buying seedlings and flowers.

Last week I interviewed one owner of those gardens and comment that,this business is not always giving them money. Because the customer buy their products at great quantity during rain seasons compared to dry season, as you know Dar es Salaam is not secured for water supply .So during rain time the soil is wet to support the plants thats why many people would like to buy seedlings.

The problem gardeners are facing is the small capital they have. They also lack education on how to improve their business as well as it is difficult to predict the market situation. Somedays they failed even to sell one seedlings.

My concern here is that how those gardeners can be assisted?
 
We have assisted them so far by letting them block the water ways!
umeshaona walivyoziba mifereji!! this is very amazing, only in Dar es Salaam utaweza kukuta mitaro ya maji ya barabarani imezibwa na na wanaojiita wajasiriamali, au vijana wanaojiajiri, na wanafumbiwa macho mpaka hiyo mifereji iharibike ndio watafukuzwa, offcourse watalalamika sana, kwani wameshalipa sana kodi, na manispaa imezipokea!!
nani anajua nchi nyingine kama tanzania ambako hela ya biashara ya kuvunja sheria inapokelewa kama kodi?
 
Nimekuwa pia nikiwafikiria hawa vijana wanaoendesha bajaji. Shida ninayoiona ni kwamba wako katika makundi na pia wako idle kwa muda mrefu.

Wakati manispaa inadhibiti wapiga debe, kundi ambalo litakuja kuwa genge la kuogopwa ni madereva taxi na waendesha bajaji. Kama hawatageuka kuwa wezi, basi watakuwa ni washirika muhimu katika maswala ya ujangili mijini.
Wakati wengine wanakazana kuwapa vijana wao elimu nzuri, sisi tunafanya makosa kukwepa gharama za kuwapa vijana ajira zenye kueleweka.

Ni heri madreva taxi wangeendelea kuwepo peke yao bila kuwaweka kwenye competition na hizi bajaji. Hizi quick fixes mimi siafikiani nazo.

Wengine wanasema, "Oh, sasa wao watakula wapi!", ...huwa nashangazwa na kauli hii.

Kwa nini leo tuanze kufikiria kumsaidia gardener, badala ya kupigania elimu bora kwa watoto wetu? Ukimsaidia gardener mmoja leo, kesho idadi yao itaongezeka; what are we going to do next?!


.
 
Kuna kitabu kinaitwa "Capitalist Nigga" kama kuna mtu anaweza kukisoma at least atapata mawazo ya mwandishi kuhusiana na watu weusi akilinganisha na jamii za watu wengine kama wahindi, waisrael na wazungu uhususani katika biashara na maendeleo.

Watu weusi hatupendani na ni wachoyo katika kunyanyuana bora kila mtu aende kivyavyake na ndio maana wahindi wataendelea kutupa discpline. Mhache ametoa wazo la kuwapiga tough wauza maua lakini waswahili wawili wametoa mawazo negative kabisa matokeo yake thread nzima itakuwa potofu. Tuwe positive tusongembele, kama shule kuna idadi kubwa ya watu hawajaenda shule sasa itakuwaje.
 
Back
Top Bottom