Wazazi wa happyskilfull student boarding tabata polen sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wazazi wa happyskilfull student boarding tabata polen sana

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Sep 1, 2008.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Sep 1, 2008
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,448
  Likes Received: 5,700
  Trophy Points: 280
  Hili ni kwa wale wote wenye mapenzi !!!nikiwa katika concert la P SQURE
  Kulikuwa na mambo mengi ya ajabu mengine ambayo ni lazima yawepo
  katika jamii ila hili kidogo lilinishtua!!!!jamani kulikuwa na watoto wadogo wako form 1 na wengine form 2
  wa kike walikuwa wakivuta sigara na kunywa pombe hadharani!!!!!!
  katika kuwahoji wlainijibu wako form 2 wenguine 1 na 4..niliumia sana sna jamani
  niliikitika na kusema je hawa wazazi wanajua watoto wao boarding wanafanya nini????????na j e ni kosa kuwapeleka watoto boarding kidogo naomba msaada wenu..hakika nilipiga nao picha na kutakakuweka humu kutokana na maawazo ya wenye busara nikaona wacha tukanane humu kwa maandishi..enyi walimu angalieni sana hawa wanaafunzi wanvyowapa wazazi wanajua wako mikononi mwa wenye busara...mwalimu mkuu embu shugulikia hili usiaribu shule yako ya tabat..wasivyo na aibu wanataja kabisa HAPPY SKILLFULL TABATA ..jamani tuwe makini na nyie wasimamizi wa haya matmasha inasikitisha sana watotokama hawa kufanya mapenzi hadharani wadogo kabisa na huku walinzi wakiwalinda.....mungu awabadilishe

  mungu ibariki tanzania!!!!
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Sep 1, 2008
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,448
  Likes Received: 5,700
  Trophy Points: 280
  Mama mia pole ndugu yangu jao ujawaona vizuri wako pale kwenye club ya las vegas nenda ukajionee!!!!!!mi nshasema tanzania tumelaaniwa lakini haturuhusiwi kukubali laana moja kwa moja
   
 3. Fugwe

  Fugwe JF-Expert Member

  #3
  Sep 1, 2008
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,680
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160
  Jukumu la kulinda maadili ni letu wote Mama Mia nakufagilia kwa ushauri wako.
   
 4. ChocolateColor

  ChocolateColor Member

  #4
  Sep 1, 2008
  Joined: Jul 18, 2008
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mtoto akiwa tumboni ni wamama tu ila akitoka ni wajamii yote hawa watoto popote pale walipo wakifanya jambo baya lazima waonywe si swala la walimu tu hata si wananchi.
   
 5. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #5
  Sep 1, 2008
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,448
  Likes Received: 5,700
  Trophy Points: 280
  Nashukuru jamani naomba tuzidi kuwasaidia ...nakumbuka nilikaa na mmoja watu wakafikiri vibaya naomba unyumba..nilikuwa naongea tatizo ni nini na tufanye nini waache sigara na mengineyo...alijibu kwa huzuni br si kwamba nini ila maisha ndio ......yanatufanya hivyo nini mdogo wangu tena
  alijibu unajua br home wanabana sana na hakuna muelekeo sasa huku boyfriends wanatunza kwa nini tusile maisha jamani!!!nilihuzunika na kumuuliza mbona sigara si maisha kama unavyosema jamani ............nailiumia sana sana nkasema jamani tufanyeje..nilikutana na mwingine nkaakaa nae tukaongea ila huyu alinisisimua sana maana aliniambia kwao mambo safi ila lazima big tyme jamani......,,nilimuuliza ndio kuvuta suigara na kuvaa uchi alinijibu whta ....ck?alinpoona nimekaa kimya akrudi kuomba msamaha nkamwambia maisha mdgo wangu hayako ivyo heshima kwanza ....


  Wito

  wadogo zanguni naombeni chonde chonde tusome twende tukafanye yalitupeleka shule aibu kwa wazazi wetu nasikitika kumtaja huyu rashid kama na wewe ni mpenzi usiige kumbuka familia inateseka usome uwatunze kama si wazazi nduguzo

  jirekebisheni ulimwengu huu sio ule wa zamani

  mwenye sikio na asikie

  mabadiliko mema

  wenu

  mpenda maendeleo
   
 6. H

  Haika JF-Expert Member

  #6
  Sep 1, 2008
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,318
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  mtot wa mwenzio ni wako, nashukuru mama mia kwa kumsemesha huyo mtoto.
  Naomba wote tuige, kila tunapowakuta tuwakanye bila kujali ni wa tajiri au masikini, mtoto wa msomi au hapana, ana maneno ya kukatisha tamaa au hapana, nakadhalika.
  tusisaidiane na dunia ya wenye kutafuta pesa kwa udi na uvumba hadi kwa watoto ambao hawajapata uelewa wa maisha.
  Wanawaona watoto kama 'watumiaji wazuri' ni kweli vijana wadogo hawako concious na pesa, hivyo wauzaji wa vitabu, magazeti, sinema, vilevi madisko wanacapitalise sana kwenye kundi hili.
  utasikia
  summer jam,
  likizo tym
  na vile vijigazeti vya ndugu yetu ambaye alishasemwa hapa ambaye anauza hadi mashuleni.
  Jamani tusaidiane.
   
 7. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #7
  Sep 1, 2008
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,448
  Likes Received: 5,700
  Trophy Points: 280
  mama mia pole sana najua umeuzunika kupita kiasi labda !!!!hivi sasa limeingia wimbi la uchangudoa ndani ya sekondari na hilo swala kuanzia wlimu wakuu na waziri mhusika analijua hili!!1labda kwa kusaidia

  kumekuwa na swala la kuruka ukuta katika baadhi ya shule wakisaidiwa na walinzi wao ikianza na shule ya jangwani!!!nasikitika katika hili nakumbuka nikiwa na gfriend wangu pale she used to do that baati mbaya au nzuri nikaja achana nae!!!tulikuwa tukimpa sh 2000 mlinzi na kwa saa wanauwezo wa kuruka zaidi ya wanafunzi 50..wakiruka ule ukuta wenye chupa ...baadae nikaja kujiuliza hivi kaama anaruka jumatatu najumatano nikimhitaji hizo jumamosi na jumapili niko kazini mpaka usiku si ndio napigiwa jamani!!!ka si kuruka na mgongo wa mpenzi wangu nikakubali yaishe!!!!labda nieleze hasa kwa wale wenye gfriends pale shuleni ama za boarding bila kuomba radhi si wote wenye tabia hizo..mpanzi wangu tuliachana nae siku alipokuja 50cent sitokaa nimsahau huyu mwimbaji kwa kunipa ufunguo !!!!nikiwa naenda kazini nikapigiwa naombwa kufanya kazi kesho yake mpaka jioni hivyo niwe off!!!nikafuraji nikarejea hm..nilipofika hm nikaaka usiku nikampigia mpenzi wangu akasema nakula buku!!nikamtania hata haiwezekani!!!hata 50cent twende jamani...hapaaaaaaaaannnnnnnnn a kwa sauti ya kubana ...nikaaka kimya nikamwambia mi niko job nilikuwa nakutania akasema hata mie najua siwezi kwenda uko bila mpenzi wangu..saa tano nikapiga simu aipokelewi nikawasha gari !!!mpaka shugulini nafikiri huyo mama mia akuadithia watu wanapochana na makofi na wanawake zao si wanapenda.....nikazima simu nkaka seehemu za nyuma nikawakuta wako kwenye group na friends na wanaume ...wangu alikuwa ameshikwa na katoto kadogo cha kiume maskini kiuno changu kile ndicho nilichosema mwishoni!!!!!!nikamfwata nkamwambia ahsante ubarikiwe na kuondoka!!!toka hapo sikupokea wala kupiga simu zake!!!!so hawa watoto ni hatari hivi sasa nikueleze haya mambo hayaishi

  kuna vitoto vinajiita vitoto vya kova

  na vingine shemeji zake kova

  hawa wako pale las vegas!!!jamni vidoo na miaka 15----20..hawa wanajiita watoto wa kova

  21----50 hawa mashemeji wake kova !!!!y?????samahani mh kova..hawa jamaa zako wa kwenye defrndr ndio wanaokuzalilisha wkaiwakamata hawa watoto wanaondoka nao na baya zaidi wana tembea nao wakiwa ndani ya gari ama wanawapeleka guest house sinza!!!!na hawa mashemeji wanakula na vingunge wakikamatwa wanapotishiwa au kuombwa na polisi wa defender wanapigiwa simu wanaachiwa!!!kma huamini nenda usiku pale afrika sana ,,na hapo las vegas!!!!!!kama askari wanawachafua sisi tutawaelekeza kweli !!!!!!\\

  dadazanguni na kaka zanguni tuache umalaya tena narudia tuachane na umalaya

  kumradhi mod
   
 8. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #8
  Sep 1, 2008
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Watu wa kuwalaumu saa nyingine sio watoto wale maana ndio wako kwenye heat.Mtu wa kuadhibu wa kwanza ni type ya akina Pdidy mnaona ufisadi anaofanya na watoto wa shule.....mkuu achana watoto wa shule,huna haya janaume weye nyie ndio wa kuanza nanyi.Mnawanunulia visimu kisha mnawamega watoto wadogo na najua hamtumii kinga.....
  Angalia boriti kwako kwanza......wewe ndio uache kuwamega watoto wa shule.
   
 9. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #9
  Sep 2, 2008
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,448
  Likes Received: 5,700
  Trophy Points: 280
  yalaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!yamekuwa hayo??????????  Mnawanunulia visimu kisha mnawamega watoto wadogo na najua hamtumii kinga.....
   
Loading...