Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Magari ya kifahari ya Japan yasakwa Dar Exuper Kachenje POLISI wa Kimataifa (Interpol) kwa kushirikiana na Idara ya...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Mabomu zaidi kulipuliwa Mbagala:Jeshi Waandishi Wetu WATAALAM wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), wamepanga...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
KUFICHULIWA kwa mpango wa wabunge wa Tanzania kujiongezea mishahara na posho, kumeleta zogo kubwa. Mpango huo ukifanikiwa, mshahara wa mbunge kwa mwezi utafikia Sh. 12 milioni. Malipo hayo ni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau: 'Dola imetekwa na mafisadi' Salim Said MTANDAO wa asasi za kiraia nchini, FemaAct, jana umeeleza kuwa dola ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
I thank God that I made it ... it is Legum Magister!!
0 Reactions
28 Replies
4K Views
  • Closed
kwa tahadhari kubwa naomba niandike haya, ukiwa ni mtazamo wangu na si lazima kwa mchangiaji yeyote wa JF akubaliane na mtazamo huu. katika kundi la wabunge wanaambatana na Mengi kwenye mikutano...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Japo tuna endeshwa na mafisadi, serikali mbovu, miundombinu mibovu na kadhalika lakini tuna mengi ya kuji vunua juu ya Tanzania. Je ni nini una jivunia kuhusu Tanzania? Maana hizi story za ufisadi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
As I was surfing a few moments ago, I bumped into this catchy quote: "If the president is immune to most easy attacks from the opposition, it [the opposition] needs to find someone who isn't."...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Taasisi isiyokuwa ya kiserikali ya US Doctors for Africa imemtunikia tuzo ya heshima rais JK kwa juhudi zake madhubuti za kupambana na umasikini na jitihada zake katika kuhakikisha kila mwananchi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
mheshimiwa henzron mwankenja wa mahakama ya kisutu amemtia hatiani mheshimiwa mwenzake nzota kwa kesi ya kudai na kupokea rushwa. Waliopo kisutu waende kazini kwa picha na habari zaidi. Kazi ni...
0 Reactions
42 Replies
7K Views
kuna mwanachadema kakutana na kipigo cha makomandoo wa ccm, 'janjaweed' na kaumia mbavu, kapelekwa kituo cha polisi kwa pf3 wakakataa kumpokea, mpaka kesho yake, sasa nashindwa kuelewa nini mbaya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu mwana jamii forum soma kipande hiki toka gazetini Kihusucho utumwa hiari. Je tufanyeje nini kwa vijana wetu ili waepuke aina hii ya utumwa? From RAIA MWEMA 18/02/2009 UTUMWA WA...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Farewell Africa-A sad documentary viewer discretion advised Africa Addio / Farewell Africa (English Subtitles) DIASPORA MESSENGER - Farewell Africa-A sad documentary 'Africa Addio' /...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kikwete na huku nako umefuata nini nasikia umekutana na mcheza Filamu wa Marekani Steven Seagal hivi kweli watanzania wanaitaji hili umepita kwenye makampuni ya computer IBM na google hivi unajua...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Mother gives birth to twins with different dads ‘One-in-a-million’ occurrence involves two eggs and two different fathers Video Mother has twins with two fathers May 21: NBC’s Janet Shamlian...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
kuna mwana chadema mmoja kakutanishwa na kipigo cha makomandoo wa ccm, 'janjaweed' kapelekwa kituo cha police wakakataa kumpokea mpaka keshoyake, sasa nachojiuliza nini mbaya na police wetu? mbona...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wapendwa wana JF. Ni kweli kwamba wanaume wababe sana kwenye sehemu zao za kazi mfano,walimu kwa wanafunzi wao,bosi kwa wafanyakazi wa chini yake,Viongozi wa siasa kwa wanachama wao na wengine wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Swali langu linatokana na sehemu ya mchango wa Mwakyembe katika Bunge kama ilivyo hapo chini Mheshimiwa Mwakyembe aliwasilisha hoja zake kama hivi: "Wakili wa Serikali hana usafiri. Yeye na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…