Aliyejibadilisha jinsia aaga dunia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Aliyejibadilisha jinsia aaga dunia

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bikra, May 22, 2009.

 1. Bikra

  Bikra Senior Member

  #1
  May 22, 2009
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 103
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Yule mwanaume aliyejibadilisha jinsia Abdalla Alou a.k.a (Aunt Victoria) amefariki dunia katika Hospitali ya Muhimbili.

  habari zinazidi kupasha kuwa kabla ya kurejea nchini Aunt Vicky aliuza nyumba yake ya urithi huko Kawe na kusafiri nje ya nchi (Thailand) ambako alikwenda kufanyiwa upasuaji kubadilishwa jinsia na kuwa na jinsia ya kike.

  Wadau tupeni DATAZ
   
 2. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #2
  May 23, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Kuwapunguzia kazi MODS ni vyema kabla hujaanzisha thread ni vyema ukajiridhisha kuwa ni mpya na haijaletwa hapa jamvini..ku-recycle news kama ulivyofanya ni kero. Ustaarabu ni kitu cha bure.
   
 3. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #3
  May 23, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Unajua si mara ya kwanza na notice huyu mwenzetu kurecycle threads. Kuna thread nyingine nili bandika yeye akaja kubadilisha tu jina hahaha. Mara ya kwanza nikasema bahati mbaya but I have seen this poster do it many times & it's become ridiculous & pathetic.
   
Loading...