Wanaume wababe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanaume wababe

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by sksksk, May 22, 2009.

 1. s

  sksksk Member

  #1
  May 22, 2009
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wapendwa wana JF.
  Ni kweli kwamba wanaume wababe sana kwenye sehemu zao za kazi mfano,walimu kwa wanafunzi wao,bosi kwa wafanyakazi wa chini yake,Viongozi wa siasa kwa wanachama wao na wengine wa namna iyo uwa ni wanyonge sana na watu wa kufokewa na wake zao wawapo majumbani kwao?

  Kama ni kweli sababu ni nini?
   
Loading...