Utumwa wa hiyari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utumwa wa hiyari

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mahiya, Mar 26, 2009.

 1. m

  mahiya Member

  #1
  Mar 26, 2009
  Joined: Feb 24, 2009
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu mwana jamii forum soma kipande hiki toka gazetini
  Kihusucho utumwa hiari.
  Je tufanyeje nini kwa vijana wetu ili waepuke aina hii ya utumwa?


  From RAIA MWEMA 18/02/2009

  UTUMWA WA HIARI WAJA

  Sasa tujiandae kushuhudia watoto wetu wakikimbilia utumwani kwa maelfu,
  Wazazi na ndugu wa karibu wa vijana wa Afrika wanatakiwa wajiweke tayari kisaikolojia kukabiliana na upotevu wa vijana wao watakao ondoka hivi punde kujipeleka katika utumwa wa hiyari.

  Wanakwenda wapi? Ni kulekule Marekani ambako walipelekwa mamilioni ya waafrika walio uzwa huko kama Punda wabeba mizigo. Wa afrika ndiyo walio jenga ukwasi mkubwa wa Wamarekani.

  Rais wa sasa ambaye ni mweusi anataka watu wengi wa kujitolea hasa Weusi kwenda kumsaidia kupigana katika vita ambazo vijana wa Marekani wanazikacha, Kama hii ya Afghanistan.
  Marekani wanasema kijana yeyote asiye kuwa raia wa Marekani anayetaka kuwa Raia atapewa uraia ndani ya miezi sita tu alimradi awetayari kujiunga na majeshi ya Marekani kwenda kupigana Afghanistan na kwingineko.
  Utaratibu huu ulifanyika wakati wa vita vya Vietnam ambavyo kwa ukali wake ilihitaji vijana kutoka mataifa Mengi Duniani hasa kutoka dunia ya tatu na wakahongwa biskuti ya URAIA.
  Habari hizi bila shaka zitakuwa na ladha ya bongo Flava kwa vijana wetu wana pita wa kisema “ Bora Mbwa Ulaya kuliko Mswazi Bongo” Watahamia Marekani tena kwa wingi siyo tu kwa sababu wameitwa kwenda huko bali pia kwa sababu Nchi hii haielekei kujua nini inataka kufanya na vijana wake.

  Wameachwa wanamea kama magugu katika mahame. Hawajajengewa matumaini katika maisha yao ya badaye.na ni kweli kwamba wanaweza kuamini kwamba ni bora kuwa mtumwa Ulaya kuliko kuwa “huru “Afrika
   
 2. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #2
  Mar 26, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Waache waende..Tatizo lipo wapi?
   
 3. Fugwe

  Fugwe JF-Expert Member

  #3
  Mar 26, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,680
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160
  Mahiya,
  Hili sio suala geni sana ingawa linaonekana geni kwa sasa. Nilipanda 'pression air' nikiwa nimetoka zangu Mwanza kuja Dar, ndani ya ndege kulikuwa na 'magazines', nilipoifungua magazine moja kurasa zake pamoja na mambo mengi yaliyokuwemo, page moja ilikuwa imeandika kuhusu kijana wa kibongo aliyekwenda kupigana vita IRAQ kwa upande wa waingereza, yeye na wanajeshi wenzake wa kiingereza, waliwekwa mji wa Basra. Ninavyoongea hivi sasa kijana huyo alirudi salama na tayari kishapewa uraia wa uingereza. Huyo nimemjua baada ya kusoma magazine hiyo, sasa najua wapo wengi sana aidha katika jeshi la marekani au nchi nyingine. Labda Obama anataka iwe 'publically known' lakini kusema ukweli issue hii ni ya kitambo na inaendelea.
   
 4. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #4
  Mar 27, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  True that;

  Mbona hii ipo na inaendelea hadi leo... hata majority ya members humu si tuna-fall under that category of people ila we dont use utumwa terminology
   
 5. a

  achiwalila Member

  #5
  Mar 27, 2009
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi naona haina shida, Maana binadamu akifikia umri wa kujitegemea, anahiari ya kuanza maisha na kujipatia riziki ilivyo halali kwa mujibu wa sheria, hivyo kama sheria inaruhusu poa, mbona wageni walikuja TZ, bila chochote (Walibahatisha) na sasa wameula kinoma!!. Leo ataenda bila kitu, baada ya miaka mitano utamkuta milionea. kipaji kitamlinda.
   
 6. a

  achiwalila Member

  #6
  Mar 27, 2009
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :cool:
   
 7. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #7
  Mar 27, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  i agree very very.... after all the world is becoming like a village sasa
   
 8. m

  mahiya Member

  #8
  May 22, 2009
  Joined: Feb 24, 2009
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asanteni kwa maoni yenu.
  Lakini je mnakubaliana na mwandishi kuwa sababu ya vijana kujiona afadhali kuwa mtumwa au mfungwa ughaibuni inatokana na serikali au kwa ujumla wake Tanzania kutokuwa na sera madhubuti kwa vijana ili waone maisha yao ya baadaye ndiyo sababu ya vijana kuishia ni sahihi? au ni vijana tu kuto jua maisha ya ughaibuni? kwani si wote na ninaweza kusema walio wengi hukwama kimaisha ng'ambo
   
Loading...