Police ni CCM au CCM ni Police! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Police ni CCM au CCM ni Police!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by The Infamous, May 22, 2009.

 1. T

  The Infamous JF-Expert Member

  #1
  May 22, 2009
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 719
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  kuna mwanachadema kakutana na kipigo cha makomandoo wa ccm, 'janjaweed' na kaumia mbavu, kapelekwa kituo cha polisi kwa pf3 wakakataa kumpokea, mpaka kesho yake, sasa nashindwa kuelewa nini mbaya na maaskali wetu, mbona wana element za usiasa kinyume na kanuni zao?, mbona wamekuwa wanalinda amani kwa kuangalia vyama pinzani vinaharibu wapi? kwani CCM wao hawana vurugu, mbona nashindwa kuelewa, najiuliza je police ni ccm au ccm ni police? na kama jibu ni ndio democrasia iko wapi,,na kama ni hapana, basi Justice should not only be done, but manifestly seen to be done.  .......................................
  UKWELI NI KAMA UKIMWI UKIONGEA TU UNATENGWA.
   
 2. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #2
  May 22, 2009
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Polisi hawana chama cha siasa.
   
 3. Kinyambiss

  Kinyambiss JF-Expert Member

  #3
  May 22, 2009
  Joined: Dec 2, 2007
  Messages: 1,372
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  LOL... its too funny how the public is so desensitized when it comes to opposition being beaten up. Rather comical, I find. Its like what one fictional character of super human strength said to a much weaker enemy:

  " Your bravery is admirable (pause).... but ANNOYING!" alafu akampa kipigo cha AJAB!
   
 4. K

  Kidatu JF-Expert Member

  #4
  May 22, 2009
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 1,491
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kupata cheo kikubwa ndani ya majeshi yetu ni lazima uwe mshabiki wa CCM. Hivyo usikute hapo kituoni bwana mkubwa ama bosi wa kituo ni kibaraka wa CCM. Tusitegemee haki kutendeka, hawa CCM wanaelewa wazi kwamba wananchi wamechoka na uchafu wao hivyo wanatumia kila njia ili kuwanyamazisha wananchi. Lakini ni vyema tukaendelea na mapambano ili kupata uhuru wetu. Hakuna uhuru bila mapambano na hili linajidhirisha tokana na ukweli kwamba CCM hawako tayari kukubali kushindwa ama kuachia madaraka.
   
Loading...