police ni ccm au ccm ni police?

The Infamous

JF-Expert Member
May 11, 2009
731
121
kuna mwana chadema mmoja kakutanishwa na kipigo cha makomandoo wa ccm, 'janjaweed' kapelekwa kituo cha police wakakataa kumpokea mpaka keshoyake, sasa nachojiuliza nini mbaya na police wetu? mbona wanaonekana na element za usiasa kinyume na taratibu zao, mbona wanalinda amani kwa kuangalia vyama pinzani vinaharibu wapi, kwani ccm wao hawana vurugu? ndio maana najiuliza Police ni ccm au ccm ni Police? kama ni ndio Democrasia ipo wapi, kama ni hapana basi, justice should not only be done, but manifestly seen to be done.

.............................
UKWELI NI KAMA MAFUA YA NGURUWE UKIONGEA TU UNATENGWA.
 
Mfumo wa nchi uliokuwa unazingatia sera za ukiritimba ndio uliozaa hali hii ya CCM kuonekana kuwa ni sehemu ya Polisi.Zamani ilikuwa lazima siasa kuingizwa majeshini na situation hii ndiyo inayowalemaza mapolisi wetu kifikra.Wanadhani hadi leo hii kuwa wao ni CCM na kwa hiyo makamanda wanajiona ni sehemu ya chama tawala na wanatumia jeshi ili kukandamiza kila aina ya upinzani dhidi ya CCM.
 
Yani umesema vyema sana. Na ndo hichi kinawapa hadi wanajeshi jeuri ya kupiga polisi.
 
Back
Top Bottom