I am glad I made it

Hongera sana mkuuu na hopeful upo abroad. Njoo Home au kama upo home nafikiri ni wakati muafaka sana kufikiri kampeni za kuwaelimisha wananchi sheria na haki zao za msingi.

Kama haitoshi UFISADI nafikiri umekukuta kwenye muda muafaka kupambambana nao kama alivyosema Uwiano Maalum
 
I thank God that I made it ... it is Legum Magister!!

pheeeewww! sumthing to cheer about baada ya wiki mbili tatu mbaya kwenye mambo ya mpira hasa ile team yetu :)

Hongera mazee!
 
Napenda kukupongeza sana baada ya kupata clarification ndogo tu hapa:

Umesema umepata Legum Magister.

Ukaambiwa uitumie ku fight ufisadi, ukaahidi haraka kwa uhakika hakika "I will."

Sasa, Shadow, unaweza kumuwakilisha mtu kama Chavda au Chenge na Mkapa na Rostam?

Mkuu Dilunga, I will fight for the good course and well being ya watanzania.
 
Sawa Mkuu Shadow, rhetoric nzuri, lakini ulichoombwa u respond si hicho, ni hiki:

Umesema umepata Legum Magister, ukaombwa na ukaahidi haraka haraka kuitumia kupigana na ufisadi. Sasa, unaweza kuwatetea mtu kama Chavda na Chenge, au Mkapa na Malegesi yule representative wa Kagoda?
 
Mkuu Dilunga, Naomba kuuliza, niwatetee katika lipi?

as I said I would rather speak to the people who could not speak for themselves I mean ordinary fellow Tanzanians.Mkapa et al wanao wa kuwatetea na unalijua hilo.
 
...he/she is just trying to pull up your legs....take it easy......BTW Congrats!!
 
Mkuu Dilunga, Naomba kuuliza, niwatetee katika lipi?

as I said I would rather speak to the people who could not speak for themselves I mean ordinary fellow Tanzanians.Mkapa et al wanao wa kuwatetea na unalijua hilo.

Obfuscations. Na inawezekana unapakwa mafuta kwa mgongo wa chupa na hizi kudos nyingi za kufuzu ujuzi uliotangaza. Unachoulizwa ni kitu straight forward, elimu ya mtaani, si nadharia, si vyeti, a practical matter:

Umesema utatumia Legum Magister kupigana na ufisadi. Je, wakikuomba, na ikatokea ndio medani yako, utetezi wa jinai, unaweza kukubali kuwawakilisha mtu kama Chavda na Chenge mahakamani katika shutuma za ufisadi?
 
Mzeee naomba nikupe nick name ya "Hammer" yaani unapiga nyundo kwenda mbele. naona unamchanganya msomi kijana wetu hapo na naona kabisaaa ambition yake ya kuwa mwanasiasa hapo baadae.
 
Obfuscations. Na inawezekana unapakwa mafuta kwa mgongo wa chupa na hizi kudos nyingi za kufuzu ujuzi uliotangaza. Unachoulizwa ni kitu straight forward, elimu ya mtaani, si nadharia, si vyeti, a practical matter:

Umesema utatumia Legum Magister kupigana na ufisadi. Je, wakikuomba, na ikatokea ndio medani yako, utetezi wa jinai, unaweza kukubali kuwawakilisha mtu kama Chavda na Chenge mahakamani katika shutuma za ufisadi?

Mr. Dilunga, naomba kujibu swali lako hivi:

mosi, kulingana na sheria za nchi(Tanzania) kila mtu ni innocent until proved guilty,

Pili, baada ya kusema hayo, nimeshaweka wazi kwamba niko radhi kutetea mwananchi asiyejiweza (kupitia pro-borno services) kwani naamini mimi na wewe na wengine wengi tumepewa wito wa kuitumikia jamii zaidi kuliko 'nafsi zetu' zaidi.

Tatu, ushahidi wa kimazingira na 'my inner conscious' haziwezi kuniruhusu kuwatetea hao watu uliowataja. Kwa hiyo I will follow my inner conscious not to accept their cases.

Natumaini nimelijibu swali lako kiufasaa.
 
Nyinyi wanasheria hiyo niliyoweka kwenye blue hapo ndipo mnapopatumia sana kuwangandamiza wanyonge na kutetea mafisadi kisa hawaja proved guilty. Na mnasrugle kweli kuhakikisha kuwa hawawi proved gulity. Tunamwona Ringo Tenga alivyosimama kidete kuitetea Richmond.
 
Yaaani
hata mimi nikivaa joho la uloya walah ntasimamia hivyo hivyo. nadhani mawakili wanahitaji kukombolewa kifikra zaidi
 
... kwani naamini mimi na wewe na wengine wengi tumepewa wito wa kuitumikia jamii zaidi kuliko 'nafsi zetu' zaidi.

Natumaini nimelijibu swali lako
kiufasaa

...kulingana na sheria za nchi... kila mtu ni innocent until proved guilty,

...ushahidi wa kimazingira na 'my inner conscious' haziwezi kuniruhusu kuwatetea hao watu uliowataja. Kwa hiyo I will follow my inner conscious not to accept their cases.

Sasa kama "inner conscious" yako inakukataza kuwatetea mtu kama Chavda na Chenge, mbona umenikumbusha kuwa kila mtu hana hatia mpaka ithibitishwe vingine? Hicho kitu umekisema ili iweje, umejitamkia tamkia tu?

"Tumepewa wito," tumepewa na nani? "Kiufasaa" maana yake nini, umesikia wapi hicho kitu "kiufasaa," mtaani? Umeweka maneno "nafsi zetu" ndani ya nukuu, ni maneno ya nani hayo, kwa nini yako kwenye nukuu?

Utajivuniaje Legum Magister hata kuwasiliana Kiswahili unapata tabu? Utawakilisha kina nani wewe, Wanyasa? Ndio nyinyi mnategemewa kumudu cha kigeni kujadili mikataba ya kukodisha ardhi ya nchi kwa Wairan, Wasaudi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom