Mengi! Mh aziza wa tabora hakufai | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mengi! Mh aziza wa tabora hakufai

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by M-bongo, May 23, 2009.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. M

  M-bongo JF-Expert Member

  #1
  May 23, 2009
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 338
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  kwa tahadhari kubwa naomba niandike haya, ukiwa ni mtazamo wangu na si lazima kwa mchangiaji yeyote wa JF akubaliane na mtazamo huu. katika kundi la wabunge wanaambatana na Mengi kwenye mikutano mingi ya uhamasishaji wa benki ya VICOBA na mamilioni mengi kutolewa na bwana Mengi huku kauli mbiu ikiwa ni kupiga vita ufisadi, mmoja wa wabunge hao ni Mh Aziza wa Tabora lakini cha ajabu katika mapokezi makubwa yaliyofanyika jana ya kumpokea mh RA Aziza pia alikuwepo sasa cha ajabu Aziza anapigana vita vita na Ufisadi akiwa karibu na Mengi au anaungana na ufisadi akiwa karibu na RA maana katika mapokezi ya Jana Mh Aziza mara kadhaa alikuwa akisika akisema Sema Babaaaa! mara RA anapowaeleza wananchi kuwa waachane kelele za chura, lakini ni Aziza huyo huyo ndiye aliyepokea Baiskeli toka kwa Mengi na ni mtu wa karibu sana wa mengi bakiungana na kina Mwakyembe, kimaro, kilango, sendeka, selelii na wengineo wengi sasa sijui Mh Aziza kahama kwa Mengi tena kapiga magoti kwa RA sielewi na sitaelewa naendelea kulifanyia kazi yaani si muelewi mh Aziza
   
 2. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #2
  May 23, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Huyo Aziza ni nani mpaka afunguliwe thread JF?
   
 3. Pundamilia07

  Pundamilia07 JF-Expert Member

  #3
  May 23, 2009
  Joined: Oct 29, 2007
  Messages: 1,433
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Yaani mnashangaza sana, Mh Aziza alikuwa anaandamana na Mengi katika agenda binafsi?
  Mengi amempa Aziza baiskeli kwa motive gani?
  Je, unataka kusema kuwa Mengi amenunua wabunge? kama ndivyo kwa ajili ya nini?
  Je, Mh Aziza ni mwakilisha Mengi au wa Mkoa wa Tabora bungeni?
  Hebu tuelezeni labda kama Mengi ana ajenda ya kumfuatilia RA kisiasa ya siku nyingi.
   
 4. SYLLOGIST!

  SYLLOGIST! JF-Expert Member

  #4
  May 23, 2009
  Joined: Dec 28, 2007
  Messages: 306
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 45
  Re: Mengi! Mh aziza wa tabora hakufai?

  Huo mtazamo wako ni tahadhari peke yake:Hiyo tahadhari iko wapi? Ni nani Anamfaa Mengi?

  Mtazamo wangu, unajikanganya!!
   
 5. M

  M-bongo JF-Expert Member

  #5
  May 23, 2009
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 338
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Inawezekana wengi mkawa hamna habari nyingi za wabunge wa CCM wanaondamana na Mengi kupinga ufisadi, na wabunge hao hasa wa hapa Tabora wamekuwa wakipewa msaada na RA kwa historia yote ya siasa zao akiwemo huyo Aziza Mbunge wa Viti maalumu mkoa Tabora. katika ziara za mengi anazoambatana na wabunge wa CCM kutoa misaada ya hali na mali ikiwemo kuhamasisha project ya VICOBA Mh Aziza ni miongoni mwao na hata sasa kwa hapa Tabora tayari semina za maandalizi hayo ya VICOBA zimekwisha fanyika kwa maandalizi ya kumpokea Mengi aje awezeshe VICOBA Tabora aidha semina hizo zimekwisha fanyika Nzega kwa Mh Selelii na maandalizi yote ya kumpokea Mengi yalishakamilika na alikuwa aje Nzega 15May09 na TAbora 18May09 ratiba ambazo zimekwama .hoja yangu hapa ni kuwa huyo Aziza pia alikuwepo kwenye mapokezi ya RA Igunga jana tena akiwa mstari wa mbele kabisa
   
  Last edited: May 23, 2009
 6. SYLLOGIST!

  SYLLOGIST! JF-Expert Member

  #6
  May 23, 2009
  Joined: Dec 28, 2007
  Messages: 306
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 45

  Mbongo,

  Unadai Mh. Aziza ni Fisadi?

  Unadai unduminakuwili?

  Unadai wanampikia dawa?, Manake kuna Tahadhari!
   
 7. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #7
  May 23, 2009
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Kama ni vita ya ufisadi kweli basi hata huyo MENGImtuhumiwa ni mtuhumiwa kama ilivyo kawa RA kinachofanya watu wawe na imani na FISADI NYANGUMI ni rangi yake au?
  hii vita ya ufisadi inapoteza mwelekeo
  Na inachukuwa sura ya ubaguzi wa rangi
  Kama ni kuwatenga watuhumiwa wa ufisadi basi pia tumshangae AZIZA kushirikiana na FISADI NYANGUMI
   
 8. SaidSabke

  SaidSabke JF-Expert Member

  #8
  May 23, 2009
  Joined: Sep 28, 2006
  Messages: 1,969
  Likes Received: 222
  Trophy Points: 160
  Kaka inaelekea siasa huijui. mwanasiasa mzuri hupunguza maadui zake wa kisiasa.Aziza anachotaka ni kusaidia wananchi wake kuwezeshwa chuki ya mengi na rostama ni binafsi kama huelewi hakuna ufisani wala nini hapo.maslahi binafsi.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...