Tuzo ya JK: US Doctors for Africa inathaminika kiasi gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuzo ya JK: US Doctors for Africa inathaminika kiasi gani?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Nduka, May 22, 2009.

 1. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #1
  May 22, 2009
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280
  Taasisi isiyokuwa ya kiserikali ya US Doctors for Africa imemtunikia tuzo ya heshima rais JK kwa juhudi zake madhubuti za kupambana na umasikini na jitihada zake katika kuhakikisha kila mwananchi anapata huduma za fya. Cha ajabu kwa kipindi cha miaka ya utawala wake huduma za afya zimedorora(hakuna haja kuomba ushahidi ju ya hili someni TDHS 2007), matatizo chungu nzima yanaisonga sekta ya afya huku kashfa za kila namna zikiibuka kila siku. Sasa inapotokea taasisi ya kigeni inampongeza JK je imetumia vigezo gani? ni sawa kwa taasisi hii kuudanya ulimwengu kuhusu maendeleo ya sekta ya afya hapa nchini?
   
 2. Kapinga

  Kapinga JF-Expert Member

  #2
  May 22, 2009
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 728
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  wewe acha tuu!! hii formula ya tuzo ni kwa kuomba mikataba ya madawa na vifaa ya hospitali n clinics bongo..tuwe makini..kila kiongozi wa kiafrika akienda marekani au ulaya..except mugambe for a number of reasons...wanapewa zawadi na sifa tele...marekani wameona china ilivyokolea afrika nao sasa ndo wanajifanya kuamka...tutaliwa sana wakati huu mgumu wa recession!!
   
 3. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #3
  May 22, 2009
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Hawa marekani wamekwisha fanya utafiti na wanajua kuwa Jakaya anapenda sifa na vijizawadi zawadi kwahiyo hiyo ndio gia yao ya kumuingia; halafu kesho utasikia wamepewa mgodi wa dhahabu!!
   
 4. H

  Haika JF-Expert Member

  #4
  May 22, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,318
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Mikataba ya madawa.
  JK wetu masikini, anajiaibisha na baya zaidi anatuaibisha, inakuwaje anawathamini sana hawa watu hadi anakosa uelekeo?
  nikifikiria alivyoyumbishwa na bush, how far can they go?
  ni kweli hatuwezi kufanya kitu?
   
 5. Bikra

  Bikra Senior Member

  #5
  May 22, 2009
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 103
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  SOURCE: THE GUARDIAN

  President Jakaya Kikwete’s efforts in promoting and executing sound and practical health programmes in Tanzania on Wednesday made him become the first African Head of State to receive a US Doctors for Africa award.

  US Doctors for Africa Founder and Executive Chairman Ted Alemayhu presented the award to the President, who is on an eight-day official tour of the US, at a dinner party in Los Angeles.

  The dinner was hosted by the US Doctors for Africa and the Los Angeles World Affairs Council (LAWAC) and Alemayhu applauded the President, saying: “When President Kikwete speaks, the whole African continent listens.”

  “I accept this award with all my heart and with great respect not only for my recognition but as a sign of recognising the efforts made by Tanzanians and their leaders and our friends all over the world in extending health services,” the President said, as he received the award.

  He elaborated on the efforts made by his administration in improving health services in the country, including implementing a ten-year health development programme and significantly boosting the health budget.

  President Kikwete had earlier had an audience with American tycoon Elliot Broidy, who hinted on his intention to establish projects in Tanzania’s special economic zone.

  The President was later yesterday expected to have talks with his host, US President Barack Obama at the White House’s Oval Office in Washington, DC.

  Their talks would centre on, among other things, global challenges like the global financial crisis and instability in Africa.
   
 6. I

  Ipole JF-Expert Member

  #6
  May 22, 2009
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 296
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Asante muungwana hizo ni habari njema matunda ya ziara za JK yameanza kuonekana
   
 7. E

  Emma M. JF-Expert Member

  #7
  May 22, 2009
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 207
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Matunda ya JK Kweli????///???????
   
 8. I

  Ipole JF-Expert Member

  #8
  May 22, 2009
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 296
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ndiyo ni matunda ya JK lakini kama hutaki basi
   
 9. R

  Rubabi Senior Member

  #9
  May 22, 2009
  Joined: Nov 30, 2006
  Messages: 174
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  matunda yapi?
   
 10. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #10
  May 22, 2009
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,850
  Likes Received: 2,425
  Trophy Points: 280
  .....knighthood for money....teh teh..yes hata kama si direct but pesa zetu zinatumika kururura ati..ndio maana kamaliza hazina ati....

  hao waliompa ...wameangalia kwa makini hali zetu na kina mama wanaojifungulia majumbani au kwenye kaunta za hosipitali????
   
 11. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #11
  May 22, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Usikute waliompa nao wasanii tu wanatafuta sehemu ya kutokea, wakaangalia rais gani cheap Africa, wakambamba muungwana!
   
 12. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #12
  May 23, 2009
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,850
  Likes Received: 2,425
  Trophy Points: 280

  siku hizi hizi award za kulipia zipo nyingi...hata mtu kama una kashule kako au kabiashara...utashngaa unatumiwa junk email...inasema "you have been nominated as the best company in africa in customer care..bla bla...to confirm click here!!!....then wanakuambia to confirm attendance of award giving ceremony pay 3,000$ icluding two days accomodation.......ukishalipa tu ....unatumiwa mwaliko ...kweli utaenda marekani au ulaya utakutana na majuha wenzako mna line up mnapokea junks awards ....na picha kibao...ukirudi nyumbani unabandika ukutani na kufanya press release ....hakuna lolote ...wizi mtupu!!!!!

  ...hembu angalieni aunthencity ya award aliyopewa rais wetu isijekuwa katapeliwa .....inatambulika wapi???....viongozi gani wengine walishapewa????....miimi nahisi hawa jamaa wana email za marais wote hasa waafrika ...waliwatumia wote email ya kuwa nominated ...aliyejibu[respond ] akawa jk...wakampa fee [say 100,000$]....akalipa then wakamualika ......ni lazima kumlinda rais na urais wetu dhidi ya cheap awards .....kama ni lazima sana ...anaweza kumtuma balozi wetu kupokea on behalf kama tunahisi taasisis inayotoa haina hadhi ya urais...au hakuna viongozi wa hadhi yake wamepata ku attend....

  nasema hivi kwa sababu tusijeishia kuandaa mapokezi airport ...na fulana zetu za maisha bora[bora ingekuwa maisha plus]...kumbe award ni feki!!!
   
Loading...