Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

WORLD'S EASIEST QUIZ! (Passing requires only 3 correct answers out of 10!) Only total thicko's will fail !! 1) How long did the Hundred Years' War last ? 2) Which country makes Panama hats...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Men discovered COLOURS and invented PAINT, Women discovered PAINT and invented MAKEUP. Men discovered the WORD and invented CONVERSATION, Women discovered CONVERSATION and invented GOSSIP. Men...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nawaletea sehemu ya pili ya makala yangu kuhusu miaka 48 ya Uhuru; tarehe 9 Disemba nilianza kuchambua hali ya kiuchumi na kutoa mwelekeo mbadala. Leo nachambua hali ya kijamii. Makala husika...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
20th December 09 Mwalimu ajitokeza jimbo la Mkono George Marato Mwalimu mmoja wa Shule ya Msingi wilayani Musoma ametangaza rasmi kugombea ubunge kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Mandeleo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
MEDITATION NO. 435 Lord Ashtar To Begin Monday Dec. 21, 2009 And continue until January 4, 2010 Ashtar here with you once again. As has been our usual custom since this Project began, we are...
0 Reactions
0 Replies
950 Views
na Hellen Ngoromera MKURUGENZI wa Mambo ya Nje na Mahusiano ya Kimataifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, ameishukia serikali kwa kuendelea kuikumbatia familia ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Popes John Paul II, Pius XII Move Closer to Catholic Sainthood By Flavia Krause-Jackson Dec. 19 (Bloomberg) -- Pope John Paul II and Pope Pius XII, who was pontiff during World War II...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ansbert Ngurumo KATIKA utafiti na mijadala yangu na makada kadhaa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), nimegundua mambo mawili ya msingi. Kwanza, wana-CCM wenyewe, wakiwamo makada waandamizi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kwa yoyote anaetaka udhamini wa kusoma nje ya nchi tuwasiliane kwa email yangu halafu nitakupatia masharti ya kupata hizo nafasi: somigroup@yahoo.com
0 Reactions
7 Replies
4K Views
We need the likes of Gen. Ulimwengu to open up our eyes! While lack of competent teachers continues, nothing much has been done to solve the issue regardless of the education sector toping the...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Profesa Issa Shivji Disemba 16, 2009 Oktoba 12 mwaka huu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, iliandaa Kongamano la Kumbukumbu ya Miaka 10 tangu afariki Baba wa Taifa Mwalimu Julius...
0 Reactions
0 Replies
8K Views
hii ni kuhusu destruction of earth 2012.geografically ina make sense http://www.december212012.com/ What happens during this time—and we have to be really careful...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Je, ni muhimu kuwa na tume huru ya uchaguzi? Jadili ukitoa sababu kwa nini unadhani tume ya uchaguzi iliyopo haifai.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
family photo
0 Reactions
1 Replies
1K Views
The Addiction HabitDo we really need rehab centers for people who spend too much time shopping or using the Internet? By Vaughan BellPosted Friday, Dec. 18, 2009, at 12:07 PM ET Like a...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Muda si mrefu uliopita rais ametunuku kamisheni kwa wanajeshi zaidi ya 250 waliokuwa wanahudhuria mafunzo yao ya uafisa TMA.Kamisheni hiyo inawafanya wahitimu kuwa maofisa ktk TPDF.Baada ya...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kuna kipindi Mwalimu Nyerere aliwaita Kenya ,Manyang'au!Sidhani alimaanisha Wakenya wote,perhaps kabila kubwa ambalo limeshika utawala na uchumi nchini Kenya,Wakikuyu! Wajaluo ni decent...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Date::12/19/2009Ahadi za urais 2005 zamtesa Kikwete uchaguzi wa mwakaniNa Mwandishi Wetu MIEZI michache ikiwa imebaki kabla ya kuanza kwenda kwa wananchi kuomba ridhaa ya kuongoza nchi kwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Miaka 2 iliyopita katika pitapita zangu maeneo ya sinza nilikutana na bango lenye ujumbe huu "wakivuta wao sigara, tukivuta sisi bangi". Ujumbe huu ulikuwa umebandikwa kwenye maskani ya vijana wa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakati tunasubiri kujua litakalowatokea mawaziri wenye elimu tata (if anything) tunaendelea kuona vigogo wetu wanavyopenda shortcut. Katika ku-research huyu jamaa Stephen Mabada (act. CEO...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…