Kuna ukweli gani kuhusu mwisho wa dunia 2012?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna ukweli gani kuhusu mwisho wa dunia 2012??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Saint Ivuga, Dec 19, 2009.

 1. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #1
  Dec 19, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,322
  Likes Received: 19,495
  Trophy Points: 280
  hii ni kuhusu destruction of earth 2012.geografically ina make sense
  http://www.december212012.com/
  What happens during this time—and we have to be really careful when we talk about this—there is an alignment that’s occurring because Earth does this little tip and this little wobble over long periods of time. As Earth changes — tips and wobbles in its orbit, it changes the scenery of the night sky. It changes our orientation in space with respect to the center of our own Milky Way galaxy. Scientists have discovered—and they are publishing this openly—that the center of our Milky Way galaxy is a very powerful source of magnetic energy The term they use is “magnetic filiments” that radiate from the center of our Milky Way. Where we are, in relation to that source of energy, has a huge effect on planet Earth. Sometimes we’re further away, and we’re tilted away from it, and the effect is less. Sometimes we’re closer or we’re tilted toward it, and the effect is greater.
  On December 21st in the year 2012, we have a straight shot—a linear shot, unobstructed by any other
  or any other bodies in the system–where we have direct access to that field of energy.
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Dec 19, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,322
  Likes Received: 19,495
  Trophy Points: 280
  Science now is telling us that we, on this planet, our lives, and our planet in general, are under the influence of great cycles of time; cycles within cycles, within cycles. Some of the cycles we know about, like the 24-hour cycle of the day for day and night, or the 28-days of a woman's cycle. But the great cycles cover such vast periods of time that we don't remember them from one civilization to the next. Our present great cycle is a 5,125-year-long cycle linked to an astronomical event that occurred in the year 3114 B.C.
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Dec 19, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,322
  Likes Received: 19,495
  Trophy Points: 280
  Polar Shift & Pole Reversal in 2012 In 2012 the next polar reversal will take place on earth. This means that the North Pole will be changed into the South Pole. Scientifically this can only be explained by the fact that the earth will start rotating in the opposite direction, together with a huge disaster of unknown proportions.
   
 4. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #4
  Dec 19, 2009
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Mmmh, hii story huwa siipendi manake huwa inanitisha sana. But wanaweza kuwa ni walewale tu. mara oooooh 2000 mwisho wa dunia, leo imefika 2009 hatuoni. Cha msingi fuata Biblia inasema nini "siku hiyo hakuna atakayeijua, wala mwana wala malaika wa mbinguni ila baba pekee. So kama kuna wanasayansi wanaweza kumpima Mungu, sawa. Otherwise tumsubiri tu Mungu mwenyewe atakavyoamua kutupa hiyo siku.
   
 5. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #5
  Dec 19, 2009
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Uwongo mtupu!
   
 6. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #6
  Dec 19, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,322
  Likes Received: 19,495
  Trophy Points: 280
  hii inaelezea destruction ya planet it means kuna baadhi ya watu wanaweza kupona kwa hiyo haipingani na bible .this is like lets say eruption of volcano which lead to mass destruction
   
 7. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #7
  Dec 19, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  It is another kind of Y2K!!
   
 8. _ BABA _

  _ BABA _ JF-Expert Member

  #8
  Dec 19, 2009
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 204
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Thanks God afazali iishe tu ki kweli kweli..maana tunanyaswa sana watz na viongozi wetu...
   
 9. Serendipity

  Serendipity JF-Expert Member

  #9
  Dec 20, 2009
  Joined: Jan 24, 2009
  Messages: 475
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Dunia (au syari nyingine yeyote) haina mwisho!
  Ila viumbe vinavyoishi humu duniani(including binadamu) ndo wana mwisho!
  Mwisho wako wa dunia ni pale unapokufa na kurudi mavumbini(kuzikwa ua kuchomwa moto)
   
 10. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #10
  Dec 20, 2009
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Wewe lazima umepinda. Ikiisha wewe utakuwa wapi?
   
 11. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #11
  Dec 20, 2009
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  You are right geographically ina make sense but not otherwise
   
 12. _ BABA _

  _ BABA _ JF-Expert Member

  #12
  Dec 20, 2009
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 204
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0


  kha mkuu si tutakua tunakula gooodtime mbinguni kwa baba baada ya taabu zote za hii dunia...au we utakua wapi mwenangu??.....hehehe..
   
 13. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #13
  Dec 20, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Hakuna ajuaye saa wala wakati wake...just get prepared ...ni kama kifo je wajua saa yako ya kufa? vivyo hivyo mwisho wa dunia utakuja kwa ghafla, bila taarifa kwa yeyote kwa vyovyote OK.
   
 14. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #14
  Dec 20, 2009
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,202
  Likes Received: 1,007
  Trophy Points: 280
  Lakini siku ya Bwana inakuja kama mwivi katika siku hiyo mbingu zitatoweka kwa mshindo mkuu na viumbe vya asili vitaunguzwa na kufumuliwa na nchi na kazi zilizomo ndani yake zitateketea. Basi kwa kuwa vitu vyote hivi vitafuniliwa, hivyo imewapasa ninyi kuwa watu wa tabia gani, katka mwenendo mtakatifu na utauwa. Mkitazamia hata ije ile siku ya Mungu na kuihimiza ambayo katika hiyo mbingu zitafumuliwa zikiungua na viumbe vya asili vitataketea na kuyeyuka.kama ilivyo AHADI yake mnatazamia mbingu mpya na nchi mpya, ambayo haki yakaa ndani yake.(2PETRO 10-13) Science ya kweli inazungumza mambo ya kweli iliyoyagundua na hili la mwisho wa dunia kwa maana ya mwanzo wa siku mpya lipo na ni la dhahiri na pia manabii walilitabiri siku za nyuma. Tofauti iliyopo ni kuitambua siku na saa ya mwisho wa dunia, hakuna ajuaye ila Baba. Kutokuijua siku hakumaanishi kwamba hiyo siku haipo, lah. Zama zetu hizi hata kichaa anajua kwamba tunaishi siku za mwisho kutokana na kutimia kwa dalili zote za kuuleta mwisho zilizotabiriwa na manabii watakatifu wa Bwana Mungu wetu.
   
 15. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #15
  Dec 20, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  hakuna ukweli wowote....
   
Loading...