Manyang'au!

mwanamasala

JF-Expert Member
Jun 20, 2009
248
12
Kuna kipindi Mwalimu Nyerere aliwaita Kenya ,Manyang'au!Sidhani alimaanisha Wakenya wote,perhaps kabila kubwa ambalo limeshika utawala na uchumi nchini Kenya,Wakikuyu!

Wajaluo ni decent people,ndio hawa wametoa Mr Obama!Sio mafisadi wao ni shule tu.Wao ndio wametoa Mr Obama,Dr Robert Ouko na Tom Mboya ambao waliuawa kikatili mpaka leo hajulikani nani aliwaua.

Jeshini,JKT tuliimba:Na Tom Mboya wa Kenya huyo;Ni kiongozi mzuri........!
Kwa nini hatukumwimba Jomo Kenyatta etc...?
Wakati harakati za Ukombozi wa Afrika,Wakenya hawakujali chochote,walikuwa sell out kwa waingereza.

Hata sasa i cant trust them,hata mambo haya ya EAC ni wao watatuletea
criminality !It highly likely bank robber nchini atoke Kenya zaidi ya Mtanzania kufanya uhalifu huo Kenya.

Kama wewe Mkenya sema sasa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom