udhamini wa kusoma nje ya nchi unapatikana!

udhamini wa kusoma nje ya nchi unapatikana!

Somi

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2009
Posts
3,956
Reaction score
4,899
kwa yoyote anaetaka udhamini wa kusoma nje ya nchi tuwasiliane kwa email yangu halafu nitakupatia masharti ya kupata hizo nafasi:
somigroup@yahoo.com
 
Masharti tena? mbona unatutisha? tuweke wazi kama kweli una nia ya kusaidia watu
 
kwa yoyote anaetaka udhamini wa kusoma nje ya nchi tuwasiliane kwa email yangu halafu nitakupatia masharti ya kupata hizo nafasi:
somigroup@yahoo.com

this is a board for Geat Thikers please tuache usanii. weka mabo hadarani e-mail tukutumie za nn? unataka kuharibu dada zetu eeh..
 
Kama una nia ya dhati ungetuwekea web page au physical address ya ofisi yako otherwise una ajenda ya siri Somi au unatafuta totoz?
 
mawazo ya ki-CCM haya, kama unazo hizo nafasi si uweke wazi tu?
 
Masharti tena? mbona unatutisha? tuweke wazi kama kweli una nia ya kusaidia watu

wabongo bwana kwa kupenda vya bure..kitu gani kisichokua na masharti duniani???...aisee kweli like father like son...kama ilivyo serikali kupenda misaada ya bure bure na wanachi hukohuko kwa mkondo.......sasa sijui unataka uambiwe fika kesho airport saa kumi jioni na pasport yako tu visa,tiketi na vyote ni juu yetu....then saa nne usiku unapanda ndege kwenda shule.......hehehe...bongo Dsm tambarareeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee......
 
Back
Top Bottom