Shaycas
JF-Expert Member
- Feb 13, 2009
- 906
- 110
Muda si mrefu uliopita rais ametunuku kamisheni kwa wanajeshi zaidi ya 250 waliokuwa wanahudhuria mafunzo yao ya uafisa TMA.Kamisheni hiyo inawafanya wahitimu kuwa maofisa ktk TPDF.Baada ya kamisheni hiyo nao wamekula kiapo cha utii kwa rais na katiba ya jamhuri ya muungano nabadae rais alienda kukagua mabweni yanayotumiwa na maafisa wanafunzi ambayo kwa zaidi ya miezi mitatu yamekuwa yakifanyiwa ukarabati mkubwa.
Wakati huo huo,ktk kuthibitisha kuwa urafiki wa LOWASA NA KIKWETE SIO WA KUKUTANA BARABARANI,LOWASA ALIKUWEPO KTK SHEREHE HIZO ZILIZOFANA NA KUONEKANA WAKICHANGAMKIANA.
Wakati huo huo,ktk kuthibitisha kuwa urafiki wa LOWASA NA KIKWETE SIO WA KUKUTANA BARABARANI,LOWASA ALIKUWEPO KTK SHEREHE HIZO ZILIZOFANA NA KUONEKANA WAKICHANGAMKIANA.