Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

naomba wana JF mnijuze hasa kazi za meya wa jiji hasa la bongo naona kama yupoyupo tu au ni kuongoza vikao vya madiwani vya kugawana posho tu
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mmh jamani yaani mpaka basi ukisikia net,msaada wa marekani.bajeti msaada wa marekani yaani kila kitu kwa msaada wawatu wa marekani hii kitu inaisha lini mkuu wetu ??tumechoka na hao wamarekani ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa walioona taarifa ya habari ya juzi mtasikitika kuona serikali yetu ilivyo na hela inavyoweza kuleta wabrazil kwa billion tatu huku watoto wa shule ya muheza huko tanga wakiwa na huzuni kubwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Yaani serikari inatumia pesa nyingi hivi kuchimba visima vya maji wakati tumezungukwa na maziwa makubwa matatu.Kwa nini serikari isitumie hizi hela kusambabza maji ya bomba? Au ndio opportunity...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Red mercury scams were popular in 1990's after the disintegration of the soviet union. Some big shots like Saddam Hussein were the first among the victims of this scam as it was claimed that red...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Serikali yatelekeza mgodi wa Kiwira Katika taarifa ya habari ya Shirika la Utangazaji Tanzania ( TBC) ya jana usiku imeonesha kwamba...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
.ExternalClass .ecxhmmessage P{padding:0px;}.ExternalClass body.ecxhmmessage{font-size:10pt;font-family:Verdana;} Alikuwepo kuhudhuria sherehe za Passover Jerusalem Myahudi mmoja tajiri kutoka...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wala si siri hapa hivyo hamna sababu ya kuficha kitu. Watu wanahamasika kuangalia vitu ambavyo hawakupanga ila wanafanya hivyo na hatimaye kuingia vishawishini kutokana na huu utaratibu wa kila...
0 Reactions
16 Replies
8K Views
UDA kutumia Sh 24 bilioni kuagiza mabasi ya abiria Elizabeth Ernest KAMPUNI ya Usafiri Dar es Salaam (UDA), imesema itatumia Sh 24 bilioni kununua mabasi 150 ya abiria yatakayotumia gesi...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Wadau, It is almost one year since Kilimo Kwanza Programme came into life. I am in knowledge search of any documents/website links/reports that have tapped into this important campaign...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wajameni ni jambo la kushangaza na kwa upande mwingine kusikitisha. Nashindwa kuelewa kama CRDB wamechoka wateja au wametosheka na kipato hivyo kutokujali tena wateja wao. Amini usiamini mpaka...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Kuna kipindi cha hivi karibuni niliwahi kusoma habari za magazetini , TZ wanajiandaa kuotesha mazao ya GM sasa kuna maswali tujiulize inakuwaje hawa walio endelea wanakwepa kuoteshwa nchini mwao ...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tanzania attractions need intensive marketing - US tour operators By Beatrice Philemon 9th June 2010 Tourists at Selous Game Reserve.(file photo) Despite Tanzania's efforts to...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wana jf kuna tetesi kuwa jana msafara wa JK uliwekewa mafuta feki mjini moshi kuna mwenye taarifa hizi atujuze, maana mimi huwa naelewa magari ya serikali yana vituo maalum vya mafuta.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
WAKATI Waziri Mkuu, Mizengo Pinda anazindua mabasi ya CRDB kwa ajili ya wanafunzi amesikika akisema yeyote anayetaka kuchangia mabasi kama hayo ana uhuru wa kupaka rangi yoyote anayotaka gari...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Russian reclusive math genius Grigory Perelman did not appear in Paris on Tuesday to collect his $1 million prize for solving a problem that has puzzled scientists for over a century. In March...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (Tucta) Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (Tucta), limesema nafasi nyingi za ajira zilizotengenezwa na Serikali kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
SIKU moja kabla ya Waziri wa Fedha na Uchumi, Mustapha Mkullo kusoma bajeti ya serikali ya mwaka 2010/11, wanasiasa wameeleza kuwa bajeti hiyo inaweza kuwa kiini macho. Miongoni mwa wanasiasa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Na Dennis Luambano MKURUGENZI Mkuu wa Tume ya Taifa ya Nguvu za Atomiki (TAEC), Profesa Iddi Mkilaha, amesema kwa sasa Tanzania inao wataalamu wasiozidi 10 ambao ni wabobezi katika teknolojia...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Mradi wa mabasi ya wanafunzi wazinduliwa Dar Na Stella Nyemenohi, Habari Leo HUENDA ile adha ya siku nyingi ya wanafunzi kunyanyaswa na daladala mjini ikapungua kama si kutoweka, baada ya...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…