Wakuu nimeona avatar ya mdau humu ndani inasema hivi:
"He walked on water; he turned water to wine; Healed the sick, Raised the dead and now he wants to be your candidate for president."
Sasa...
Kuna habari za kuaminika kutoka ndani ya BOT kuwa kuna wimbi kubwa la Bank za kimataifa za kibiashara zitakazomiminika mtaani muda si mrefu kutoa huduma za kifedha kwa jamii ya wa TZ. Mpaka sasa...
Mniwie radhi kama nitakuwa na-post hii kitu hapa kwa mara ya pili,ila naona ni kitu cha kusikitisha.Naona wawekezaji wameishika nchi na wanaweza kufanya chochote wanachotaka!Huu ni uonevu wa wazi...
Naishi na mzee mmoja ambaye miezi kadhaa iliyopita alifiwa na binti yake mdogo mwenye umri yapata miaka mitano,kifo cha mtoto huyu kiligubiKwa na utata mwingi kwani vipimo vya hospitali...
Wana jf,
Naomba mchango wa mawazo.
Ninatarajia kusafiri mwezi wa 12 kutoka Dar kwenda Mwanza(sijaenda miaka mingi sana).
Kuna mtu mmoja mwenyeji wa Mwanza(hajaenda siku nyingi kidogo) anasema...
Mmeinyaka hii...
MBIO za kuwania ubunge na udiwani kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), zimezidi kuonyesha vioja, burudani na ufundi wa kampeni, baada ya jana Waziri wa Maliasili na Utalii, Shamsa...
Dear All,
Greetings from FES,
Kindly be informed that the youth political dialogue will take place on 31st July 2010 at the FES Conference starting at 8:45am. The session will bring...
Wapendwa wana jamvi jana ilikuwa ni siku ya mashujaa wa tanzania,kila mtanzania mwenye damu ya kitanzania alikuwa na fursa ya kukumbuka watu muhimu waliolipigania taifa letu kiasi cha hata...
Hii ni story ya kweli kabisa. Hebu fuatilia kwa faida yako. Ukiona mwenzio ananyolewa kitie maji kichwa chako.
Mdogo wangu mmoja pale Dodoma anaishi na mkewe, house girl na watoto wawili. mtoto...
Jamani nina tatizo kubwa kweli naombeni msaada kama kuna anayejua namna ya kutatua;
Ni hivi, mwezi wa tatu mwaka huu 2010 jumamosi moja niliamka asubuhi na kukuta sehemu ya ndevu zangu...
Huyu bwana alipata kuwa Mbunge wa Monduli wakati fulani. Lakini pia miaka yangu ya mwisho mwisho kumsikia ni pale alipokuwa DC... nadhani huko Kongwa-Dodoma.
Enzi zake za Ubunge alikuwa mjenga...
Yes?
natumaini mumejibu 'YEAA'..hifyo ndifyo tunatharimianaga huko kwetu gisagi General saina.
Sijui kwanini mama yangu arikuwaga anajua saa zote nikiwa karibu gusuria (kushuta). kira wakati...
Wadau naombeni kufahamu ukweli maana sasa huu ni upuuzi a.k.a wa hovyohovyo, wiki sasa napigwa danadana ktk kituo cha pale msimbazi na hawa wachina walioingia ubia na TBCI kusambaza hivi...
Kwa wale waliowahi kutazama hiki kipindi
nimekuwa najiuliza maswali mengi
1.hiki kipindi kinaandaliwa nchi gani?
2.kwenye television ipi??
3.mbona quality ni mbovu?
4.huyu sporah ni jina lake...
Jamani wana JF, naomba kama kuna mtu anayezifahamu sababu za msingi ambazo zinapelekea kampuni za simu nchini kutouza hisa zake ktk soko la hisa '' DSE'' kama kampuni nyingine zinazouza hisa zake
Katika jumla ya daladala 120 za jiji la Dar-es-salaam nilizopanda kuelekea maeneo mbalimbali ndani ya kipindi cha miezi 2, nimeweza kushuhudia ni daladala 15 tu zilizokuwa zikifuatilia mambo...