Mwenye hii Avatar - Ufafanuzi tafadhali! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwenye hii Avatar - Ufafanuzi tafadhali!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by TANMO, Jul 25, 2010.

 1. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #1
  Jul 25, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,918
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  Wakuu nimeona avatar ya mdau humu ndani inasema hivi:

  "He walked on water; he turned water to wine; Healed the sick, Raised the dead and now he wants to be your candidate for president."

  Sasa tatizo linakuja kuwa huyu Bwana anamzungumzia nani au ana maana gani hasa kwa maelezo haya?

  Nawasilisha.
   
 2. Companero

  Companero Platinum Member

  #2
  Jul 25, 2010
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Anamzungumzia Yesu, anataka awe Rais wa maisha yako
   
 3. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #3
  Jul 25, 2010
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Kamanda, je ulimaanisha sahihi (signature) katika mabandiko yake au avatar (picha) kweli?!
   
 4. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #4
  Jul 25, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Alikuwa anamaanisha signature, msamehe bure, hata kama hajaomba msamaha!
   
 5. P

  Paul S.S Verified User

  #5
  Jul 25, 2010
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180

  Mkuu unatatizwa na nini haswa katika hiyo signature.
  lakini huyo unaye mdhani hajawahi kufufua wafu wala kugeuza maji kuwa divai wala kutembea majini na kuponya wagonjwa.
  mkuu usijali huyo ni Yesu anataka kuwa raisi wa maisha yako
   
 6. K

  Kapwani JF-Expert Member

  #6
  Jul 25, 2010
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 668
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ha ha ha aaaa (YESU NI KING BANA)
  unajua huu wakati wa uchaguzi watu wana wasiwasi sana na wagombea ........pole sana ndugu mgombea huyu si vuvuzela huyu ni mgombea ambaye yupo jimboni siku zote....YESU MNAZARETH, SIMBA WA KABILA LA YUDA, BWANA WA MABWANA.....CONSUMING FIRE!!!!
  mix with yours
   
 7. Kisoda2

  Kisoda2 JF-Expert Member

  #7
  Jul 26, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 1,242
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  Just say Haleluyaaa Amen!!!!.
   
 8. M

  Malila JF-Expert Member

  #8
  Jul 26, 2010
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Hadi raha,mpe maisha yako uone mambo.
   
 9. MIUNDOMBINU

  MIUNDOMBINU JF-Expert Member

  #9
  Jul 27, 2010
  Joined: Apr 14, 2010
  Messages: 452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Mkuu.HUYO NI BWANA WA MABWANA.MFALME WA WAFALME.YESU KRISTO MWOKOZO WA WATU WOTE.
   
 10. Rubi

  Rubi JF-Expert Member

  #10
  Jul 28, 2010
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 1,623
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Nafikiri umepata jibu la kutosha au unajingine?
   
 11. kaburunye

  kaburunye JF-Expert Member

  #11
  Jul 28, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Nashauri um-PM akupe maelezo. We cannot read his/her mind!!!!!
   
Loading...