Ndugu wana JF,
Jana nilipata bahati ya kuwahoji baadhi ya vijana wanaofanya mitihani ya kidato cha 4.Hawa vijana wakaniambia mitihani imevuja, paper kama ya histori na biology walizopata nje...
Thursday, 07 October 2010 08:27
WATANZANIA wametakiwa kuondokana na tabia ya kuchangia sherehe na harusi badala yake kuiga wananchi wa Kenya wanaoshirikiana katika kuchangia elimu kwa mtindo wa...
Wadau nimepata nafasi ya kuwahoji madogo wanaofanya mitihani ya kidato cha nne.Hali inaonyesha mitihani inapatikana.Maana maswali wanayokujanayo wenzao ndio hayo wanayakuta ndani ya chumba cha...
Kama kuna waajiriwa au wakubwa wa NMB hapa, sio kwamba nataka kuiua biashara yenu ila nataka kuuliza.
Nipeni sababu yakuwa mteja wenu?
ATM foleni tena sio foleni ya watu kumi
Banking foleni...
*Atuhumiwa kusambaza ukimwi.
KATIKA kile kinachoonesha wananchi wamekata tamaa na kuamua kujichukulia sheria mkononi, wananchi wenye hasira kali wamevamia katika nyumba ya Grace Mremi (30)...
Chenge amruka shahidi aliyemkaanga
Na Ummy Muya
MWANASHERIA mkuu wa zamani, Andrew Chenge jana katika utetezi wake alimkana shahidi wa tatu wa upande wa mashitaka, Fortunatus...
I don't understand as to why the prominent prezzo candidate introduces proudly the people he's prosecuting?
Is it a clue may be a gesture to A.G?
Is he dectating whats will be the outcome of...
Katika gazeti la Mwananchi toleo la Jana na Leo (Jumatano Oktoba 5 na Alhamisi Oktoba 6, 2010) kuna habari imeandika na waandishi Frederick Katulanda na John Dotto ikielezea kuwa Kuna Padri...
Wakuu nimeiona hii na nimependa tushiriki pamoja kwa kuelimishana maana yake tuliowengi tunaweza kuwa tunafanya hivyo.
Please take time to read!! Very important!!!
A well known family in...
Send to a friend Wednesday, 06 October 2010 07:45 0diggsdigg
Walimu wa mkoani Ruvuma wakipita kwa maandamano na mabango mbele ya Rais Jakaya kikwete jana wakati wa maadhimisho ya siku ya walimu...
*Wadai ni sawa na kuwatishia nyau
*Wengine wadai Rais ameteleza
*TUCTA wadai amewapaisha juu
*Wapinzani waiponda, wamtaka atangaze mishahara yao
*Wadai hakuna wasomi wengine wa kuziba mapengo...
Siku ya jumamosi wiki iliyopita rafiki yangu wa karibu sana alinipa mualiko wa ghafla ambao sikuutaraji. Pamoja na hali hiyo niliitikia wito. Pale nyumbani kwake tulikuwa wageni takribani 50 wake...
:hat:
Police chief slammed over 'racist' joke
A Swedish police chief has courted controversy after he dressed up and told a joke about a black prostitute in front of a group of colleagues...
Mwandishi wa Habari wa siku nyingi ambaye amefanya kazi katika vyombo mbali mbali vya habari amefariki dunia leo baada ya kuugua kwa muda mfupi... source; Facebook
Nimeipata hii sasa hivi.
Kwa wale walio makini, someni, kisha tafakarini. Hii ndiyo Tanzania yetu, miaka 11 baada ya Baba wa Taifa kututoka? Kila mtu sasa anautaka utajiri, kwa udi na uvumba...
Jesus told them another parable: The kingdom of heaven is like a man who sowed good seed in his field. But while everyone was sleeping, his enemy came and sowed weeds among the wheat, and went...
Ndugu wa jamvi habarini za Masiku na Poleni kwa shughuli za maandalizi ya uchaguzi,
Nimekuwa nje kwa matibabu kwa muda sasa nimerudi.Asanteni kwa mlionitumia salaam.
Binafsi naona...
Nimesoma gazetini kuwa Dr Slaa amesema kwamba JK amejialika kwenye mkutano wa kitaifa wa CHAMA CHA WAALIMU unaotarajiwa kufanyika Songea hapo kesho 3/10/2010.
Je kama ni kweli inapokelewaje hii...