Mitihani ya kidato cha nne imevuja au imemwagika?

Mitihani ya kidato cha nne imevuja au imemwagika?

pcman

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2008
Posts
742
Reaction score
189
Wadau nimepata nafasi ya kuwahoji madogo wanaofanya mitihani ya kidato cha nne.Hali inaonyesha mitihani inapatikana.Maana maswali wanayokujanayo wenzao ndio hayo wanayakuta ndani ya chumba cha mtihani.Shame on Us.
 
Back
Top Bottom