MIKATABA mibovu ya ukodishwaji wa mashamba makubwa ya kahawa wilayani Hai kati ya bodi za vyama vya msingi vya ushirika na wawekezaji imeonekana kuwanufaisha zaidi wawekezaji na kuviacha vyama...
Kuna habari za kurindima kwa risasi mjini Mwanza ambapo watu 10 wameuwawa na majambazi, 17 Wajeruhiwa, Majambazi 6 nayo yauwawa na wananchi wenye hasira.
habari hizi ni kwa mijibu wa 7:00 pm news...
It has become very common phenomena/feature of publicly financed interventions to protect people lives and assets are mostly reactive and crisis oriented..the case in point is Kilosa Flood...
Jamani wanaJF nimetembelea tovuti (au wavuti? Not sure with this) (website) ya Bunge letu tukufu la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ili kuona kama wameweka Sheria mbali mbali zilizopitishwa na...
AFP waunga mkono Karume aongezewe muda
Nora Damian
CHAMA cha Alliance for Tanzania Farmers (AFP), kimetaka Rais wa Zanzibar, Amani Abeid Karume, aongezewe muda, ili awe katika nafasi mzuri...
Zifuatazo ni baadhi ya Picha Za Sehemu Mbalimbali zilizokumbwa na Mafuriko, kwa hisani ya sources mbalimbali na hasa Michuzi Blog:
Yeyote anayeweza kupata picha, ruksa kuzibandika.
Tunaweza...
First i was dying to finish my high school and start college, and then i was dying to finish college and start working, then i was dying to marry and have children, and then i was dying for my...
Jamani nasikia huyu bwana pamoja na uchawi wake wa kudanganya watu na kutabiria watu lakini ni masikini sana.........lakini nashangaa anashindwa hata kutabiri ushindi tbc1 ili apate...
SORCE: MWANANCHI
WAZIRI wa Mifugo na Maendeleo ya Uvuvi, Dk John Magufuli amesisitiza tamko la serikali kuwa nyama ya nguruwe, maarufu kama Kiti Moto, ni salama kwa kuwa hakuna taarifa za...
Wale watumiaji wa daladala haswa maeneo ya mijini kama dare s salaam tunashuhudia vijana wengi kwenye vituo vya daladala wakiuza chenji kwa makondakta wa daladala na watu wengine wanaopenda...
hey guys.. another mama shifted to the plot i lives kindu 3months ago. we normally says hi to each other but with few stories. last wked she found me washing clothes and she asked ..."hey kwani...
Ndugu zanguni wana JF nilikuwa ninaperuzi kwa Michuzi nimekutana na habari hii Serikali ya Libya yajitokeza kusaidia Athari za mafiriko kilosa kuwa itawajengea nyumba 200 waathirika zenye thamani...
Rostam, Chenge, waonyesha jeuri ya fedha kwa John Cheyo
Na Anceth Nyahore
18th January 2010
Mbunge wa Bariadi Magharibi (CCM), Andrew Chenge, Mbunge wa Igunga, Rostam Aziz na Mbunge wa Musoma...
MWENYEKITI wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Hesabu za Serikali, John Cheyo, ameitaka serikali kuweka bayana ukweli kwamba Kampuni ya kufua umeme ya Richmond haikupewa fedha yoyote badala ya kuacha...
In pursuit of lighter skin beauty standards, black women living in France widely resort to skin bleaching products without knowing the risks they take.
Amy Mbayes life in France is enviable. She...
UMUHIMU WA KITCHEN PARTIES NI KWA MABINTI TU?
Ndugu zangu kwa muda sasa nimekuwa ninajiuliza. Hivi hizi Kitchen parties wanazofanyiwa mabinti siku chache kabla ya kuolewa zinawasaidia kweli hao...
Fikilia waenda nchi au mji ambao wapewa tahadhariya usalama wako na mali zako ata kama ni kasimu ka promoshen kariakoo kila unapotaka kutoka nje upate japo upepo au kuona mandhari ya mji, nawe kwa...