Maafa ya Mafuriko Katika Picha Na Wito Kuwachangia Wahanga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maafa ya Mafuriko Katika Picha Na Wito Kuwachangia Wahanga

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Sanctus Mtsimbe, Jan 18, 2010.

 1. Sanctus Mtsimbe

  Sanctus Mtsimbe Tanzanite Member

  #1
  Jan 18, 2010
  Joined: Jul 14, 2008
  Messages: 1,815
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Zifuatazo ni baadhi ya Picha Za Sehemu Mbalimbali zilizokumbwa na Mafuriko, kwa hisani ya sources mbalimbali na hasa Michuzi Blog:

  Yeyote anayeweza kupata picha, ruksa kuzibandika.

  Tunaweza kuwasaidia ndugu zetu hawa kwa kutuma SMS yenye neno TPN kwenda 15522. Utakatwa TZS 250 tu za usajili na kisha TZS 150 tu kila siku kwa siku 30.

  [​IMG]
  Barabara zimeharibika na kufanya usafiri kuwa mgumu.

  [​IMG]
  Wananchi wakivuka mto mkondoa kuhama makazi yao yaliyoharibiwa na mafuriko.


  [​IMG]
  Anna Mndale (kulia) akiwa na mwanaye kwenye nyumba yao iliyobomoka baada ya kukumbwa na mafuriko wilayani Kilosa. Hakika inatia huruma. Ukipenda waweza kuwasaidia.

  [​IMG]
  Daraja la reli ya kati iliyokumbwa na madhara ya mafuriko hayo. Serikali kuwajibika.


  [​IMG]
  Baadhi ya vifaa vya wakazi wa Kata ya Kasiki na Mbumi za Mjini Kilosa vikiwa vimetolewa nje ya nyumba zao ili visisombwe na maji ya mafuriko yaliyotokea Desemba 26, mwaka huu mjini humo.
   

  Attached Files:

Loading...