MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA), inakusudia kuanzisha utaratibu wa kutoa huduma za usafiri wa umma kupitia kampuni au ushirika wa wasafirishaji.
Utaratibu huo...
One of the biggest and most popular online Sport sites Goal.com revealed the poll results of the vote for the Players of the Decade recently, and the result included Ronaldo as the best forward...
Wanasayansi wa kituo cha utafiti wa anga za juu cha Marekani, NASA, wameonya kutokea kwa kimbunga kikubwa cha bahari upande wa kusini mashariki mwa bahari ya Hindi.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka...
Ewura grants firms licences to generate, supply power
By Njonanje Samwel
18th February 2010
The Energy and Water Utilities Regulatory Authority (EWURA) board has granted Artumas Group and...
Redio yetu imeanza kuisha betri na ule muziki uliokuwa umepata air play ya kufa mtu hausikiki tena.
Nlikuwa naupenda sana muziki huo unaitwa Bunduki na Pingu ulikoimbwa na jerry Muro...
Watu wamekuwa ni watumwa wa umaarufu.
Wapo wanaotumia fedha zao ili wapate umaarufu,
wengine wanahonga wanamuziki ili waimbwe na kupata umaarufu,
wengine huwa wanakwenda kwa waganga ili wapate...
The government has defended its position regarding the dismal performance of public schools following the growing outcry on the quality of education offered by these institutions of learning...
JANA gazeti hili liliandika taarifa za hausigeli Odillia Mikka (16), binti anayedaiwa kufanya vitendo vya kishirikina nyumbani kwa mzee Naftali Chacha jijini Dar es Salaam.
HATIMAYE hausigeli...
Naomba member mwenye kipande cha gazeti la mwananchi,la 2010 february 02, kuna Tangazo la scholarships za china,akirushe hapa jamvini wadau tuchamgamkie.Nimesikia deadline ni kesho.
Habari wana JF
Naomba kuuliza maana hapa ni kitu cha ajabu nimesoma gazeti la Tanzania Daima askari wanalalamika kuhusu ugawaji wa nyumba je ni sahihi kama mtu kwa wanawake kutoa ngono na kwa...
Ndugu wana JF, mara nyingi nimekuwa nikishuhudia jinsi madereva wetu wasivyofuata alama za wenda kwa miguu. Siku moja nilishuhudia kiwete mmoja akivuka kwenye alama za wenda kwa miguu halafu gari...
Jerry Muro ameweza kuthibitisha kuwa bunduki na pingu alikuwa akizimiliki kihalali.
Kauli alizokuwa akizitoa Kova kwa vyombo vya habari zilikuwa ni za ukandamizaji na zilikuwa zinaonyesha bayana...
Mwishoni mwa wiki iliyopita kulitokea vurugu kubwa shule ya Sekondari St. Mathew's kule Kongowe. shule hii inamilikiwa na bwana Mtembei. Sababu ya vurugu hizi ni vijana waliomaliza kidato cha...
Wanajamii,
Nimetokea kuipenda sana Mboga ya mchicha kwani ina faida nyingi sana katika mwili wa mwanadamu.
swali: Haya maji yanayotumika kumwagilia mchicha hapa Dar huwa yanatoka wapi?
Mto...
Wandugu salaam,
hii ipo kama jokes lakini ni habari ya kweli ambayo imetokea hivi karibuni hapa mjini,
Kuna kijana alitoka kijijini akaja hapa dar kwa mjomba wake, baada ya kukaa kama siku tatu...
Ukijaribu kuchunguza katika sehemu nyingi kubwa zinapotolewa huduma za afya (hospitali), katika logo zao utakuta kuna alama ya nyoka au kwa kitaalamu 'caduceus'. Inasemekana kwa zamani ilikuwa...
Serikali imesema haijashtushwa na matokeo mabaya ya shule za sekondari za kata na imewashangaa watu wanaozibeza shule hizo.
Hayo yalisemwa jana jijini Dar es salaam na Naibu Waziri wa Elimu na...
wakuu,nakumbuka kipindi nasoma hasa history vitabu viliandikwa jinsi mwanadamu hasa mwafrika alivyobadilika badilika mpaka kufikia kuwa kama hivi tulivyo,na mpaka sasa kuna documentary nyingi sana...
http://www.youtube.com/watch?v=2Uw8fcL8ZJM
play no 8 na 9 kwenye related video ujionee.
mambo haya natamani yangekuwepo bongo maana mafisadi wangekoma na nchi ingenyooka maana mtu mzima kala...