Kutoa ngono, hela ili upewe nyumba ya polisi ni haki?

Prisoner

Senior Member
Jan 26, 2010
119
0
Habari wana JF
Naomba kuuliza maana hapa ni kitu cha ajabu nimesoma gazeti la Tanzania Daima askari wanalalamika kuhusu ugawaji wa nyumba je ni sahihi kama mtu kwa wanawake kutoa ngono na kwa wenye nazo kutoa Pesa ili wapate nyumba? hayo magorofa mapya. Naomba wenye Data zaidi ili tuweze kuwasaidia wenzetu polisi kwani kama ni kweli basi hapo viongozi wajiuzulu kwani ni kashfa kwa Jeshi la Polisi.
 
Haya ndo maswali ya kipima joto cha ITV sasa hapo unategemea tuseme ni haki?
 
Habari wana JF
Naomba kuuliza maana hapa ni kitu cha ajabu nimesoma gazeti la Tanzania Daima askari wanalalamika kuhusu ugawaji wa nyumba je ni sahihi kama mtu kwa wanawake kutoa ngono na kwa wenye nazo kutoa Pesa ili wapate nyumba? hayo magorofa mapya. Naomba wenye Data zaidi ili tuweze kuwasaidia wenzetu polisi kwani kama ni kweli basi hapo viongozi wajiuzulu kwani ni kashfa kwa Jeshi la Polisi.

Haya maswali waulizwe TAKUKURU
 
Back
Top Bottom