Naombeni jibu

Naombeni jibu

Sumbalawinyo

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2009
Posts
1,282
Reaction score
250
Kwa nini haiwezekani kutafuna na kupiga mluzi kwa wakati mmoja?
 
Ni kwasababu ILE KIUNGO INAITWA oesophagus inakuwa interrupted na loin katika ku'exaggerate linguistic-ability kwenye internal hypothalamus!
Ni hivyo tu, hakuna jinsi ingine..gooosh!
 
Ni kwasababu ILE KIUNGO INAITWA oesophagus inakuwa interrupted na loin katika ku'exaggerate linguistic-ability kwenye internal hypothalamus!
Ni hivyo tu, hakuna jinsi ingine..gooosh!
mi mhandisi bana hapo kwa vile hakuna kalkulasi wala eksiponensho fangsheni thijaelewa kabisaaa unamaanisha nini..........
 
kwasababu haiwezekani kutafuna na kupiga mluzi wakati mmoja
 
Sumba, maswali yako magumu, naomba usiniulize mi dereva wa guta bwana ahhh...
hujanisomesha wewe, halafu unaulizauliza.
 
Back
Top Bottom