Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,864
- 155,822
Wanasayansi wa kituo cha utafiti wa anga za juu cha Marekani, NASA, wameonya kutokea kwa kimbunga kikubwa cha bahari upande wa kusini mashariki mwa bahari ya Hindi.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka makao makuu ya shirika hilo yaliyoko nchini Marekani, ni kwamba mtambo uliofungwa hivi karibuni kwenye satelaiti kubwa ya utafiti inayoelea angani umetuma picha za kuwepo kimbunga hicho ingawa bado shirika hilo halijatoa taarifa rasmi lini tukio hilo linaweza kutokea.
SOURCE: NASA