Wadau mimi binafsi na ninaamini wakazi wengi wa jiji la Dar wanakerwa na vitendo vya kihalifu ambavyo vimekuwa kwa kasi kubwa. Watu wanakabwa na kunyang'anywa magari kama vile wizi wa simu; watu...
by Brett Blumenthal - Sheer Balance,
Although we like to think that the people in our lives are well-adjusted, happy, healthy minded individuals, we sometimes realize that it just isn't so...
Soda, pop, cola, soft drink whatever you call it, it is one of the worst beverages that you could be drinking for your health. As the debate for whether to put a tax on the sale of soft drinks...
Maisha ya mwanadamu hayazidi miaka 70 wachache kuenda hadi 100 kwa wale waliojaaliwa kuishi umri mkubwa, achilia mbali life expectancy ambayo kwa Watanzania kufuatia UKIMWI kuwa tishio na...
Zamani wachungaji walikuwa wanawalinda na kuwaongoza kondoo. Siku hizi wameamua wenyewe kuwala kondoo
Mwalimu mbaroni kwa rushwa ya ngono
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU)...
Wapendwa, Baada ya kufanya kazi kutwa nzima sasa ni muda wa kwenda kupumzika na kuianza weekend kwa furaha, kwani naamini bado tumebakisha vijisenti vya kale ka-salary.
Twendeni pale nanihii...
Jana kwa wale wanaopenda kusikiliza kipindi cha PB cha Radio - Clouds FM, Gerald Hando alivyokuwa akiwahoji vijana wa CCM waliopita katika kura za maoni akiwemo January Makamba walivyokuwa wakitoa...
Hii imetokea mchana wa leo.
Jirani yangu ana mtoto wa miezi minne ambaye huachwa na yaya.
Yaya ana tabia ya kumuacha mtoto na kwenda kurusha roho na mume wa jirani yetu, nyumba ya nne toka nyumba...
Wakuu mliopo Mbeya au Tukuyu,nimesearch mtandaoni na kuona baridi kali 4-8 Centigrade.Pale Uporoto si itakuwa 0 Centigrade?
Hapa DSM tu hapalaliki, tupeni habari sehemu nyingine,Arusha,Lushoto,Iringa
Katika taarifa ya habari ya TBC1 jana jioni inasema maziwa ya kopo yanayotumiwa kuwapa watoto imegundulika kuwa inawafanya watoto kuanza kuota maziwa wakiwa wadogo sana kutukana na virutubisho...
Kwa wanachama wote na wasio wanachama wa JF kwa ujumla yaani wale ambao bado hawajajiunga ila wanasoma JF, nina ombi moja fupi sana kwa wote.
Jumamosi hapa Warsaw, nitakuwa nina kipindi cha saa...
MUST READ!!
For those of you who heard it, this is the article Dee Lee was reading
this morning on a New York radio station. For those of you who didn't
hear it, this is very deep. This is a...
MKAZI wa jijini Dar es Salaam anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 50, amelipa faini ya Sh30,000 baada ya kupatikana na hatia ya kutoa uume hadharani, kumlowesha kwa mbegu za kiume, abiria wa kike...
kama kuna mambo magumu kuyameza hapa jijini basi ni hili la maji HAPA boko KWENYE Nyumba ZA mradi zilizojengwa na NHC kwa msaada wa mashirika ya kimataifa na kuziuza kwa wananchi kwa bei...
MGOMBEA urais wa Chadema, Dk Willibrod Slaa amekuwa gumzo ndani ya CCM kiasi kwamba mwenyekiti wa chama hicho tawala, Jakaya Kikwete na katibu wake mkuu, Yusuf Makamba walishindwa kujizuia kutumia...
Kumekuwa na matangazo mikoani ya nayohusu wananchi kujitokeza kwa ajili ya mdahalo au semina SEHEMU ELEKEZI, iliyoandaliwa na EWURA pamoja na TANESCO ili kujadili kuhusu ongezeko hilo la umeme...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.