Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mamia ya wapiganaji wa Somalia wanaotii kundi la kiislamu la al-Shabab wamemiminika mjini Mogadishu, huku walioshuhudia wakisema kuna matarajio ya kuwepo mapigano mazito. Walioshuhudia wameripoti...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WANANCHI wakazi wa Mkimbizi katika Manispaa ya Iringa wanaodaiwa kuwa na hasira kali wamemuua kijana mmoja ambaye jila lake halijafahamika kwa tuhuma za wizi. Wakielezea undani wa tukio hilo...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Mbaya wa Jerry Muro matatani na Mwandishi Wetu HATIMAYE mlalamikaji aliyemwekea mtego mwanahabari wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC1), Jerry Muro, na wenzake wawili, Michael Wage Karoli...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
AJUZA wa miaka 80, mkazi wa kitongoji cha Kiwangwa wilayani Bagamoyo amebakwa na kijana mwenye umri wa miaka 35 na kusababishiwa majeraha makali katika sehemu zake za siri. Tukio hilo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Umasikini Tanzania unasababishwa na nini ikiwa vitu vyote vinavyoweza kufanya nchi ijitosheleze tunavyo!!Tuna kila kitu kinachotakiwa Duniani lakini sisi bado ni masikini kwa miaka zaidi ya 45 ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Sometimes iko ngumu kama big g mpya, some times soft kama Big g iliyoliwa hadi kuisha utamu. Ukiikubali inakupa raha ikikuvamia inakuumiza, hii kitu ni tamu hadi watu wanajiua kwa kuona imeenda...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
hey guyz.najua mtu unapokua kazini au ktk mihangaiko yako ya kila siku kuna mahala fulani unakwenda kupata lunch.sasa swali langu ni kwamba je hapo mahali unapokula lunch yako ni kitu/vitu gani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
hey guyz.najua mtu unapokua kazini au ktk mihangaiko yako ya kila siku kuna mahala fulani unakwenda kupata lunch.sasa swali langu ni kwamba je hapo mahali unapokula lunch yako ni kitu/vitu gani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
A Magnitude 4.3 earthquake Hits Northern Iillinois this morning...Oh yes i felt it@ 3.59AM (Just before my alarm went off so i can pray)....it was wierd feeling and i thought of people of Haiti...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
By email of: Oct 22, 2009[/B] President Jakaya Kikwete placing the National flag to Mr Ashis Thakkar, Uganda-based businessman who is on course to travel to outerspace on board the Virgin...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mpayukaji wa Msemahovyo WIKI jana ilikuwa tuandike barua kwa Jack Zumaa kumfahamisha kuwa hatupendi matendo yake. Kipigo na mauaji ya jamaa yetu yalitufanya tusifanye hivyo. Hata hivyo nina...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu, Kweli sisi nchi zisizoendelea. Yaani mshahara wa mwezi mmoja wa Drogba unaweza kulipa Maprofesa zaidi ya 320!!!! kila mwezi hapa nchini kwa wastani wa shilingi milioni 3.0 kwa kila...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo nilipokuwa nafanya mazoezi asubuhi nikamuona nyoka kwenye mtaro. Alikuwa na unene wa nchi mbili na urefu wa kama mita moja. Kwa ajili ya kupigwa na baridi alikuwa amezubaa zubaa, nikatafuta...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wakuu, Naomba mnisaidie kujua ni maamuzi yapi mazito ambayo Rais ameyafanya mwaka uliopita (2009) ambayo tunaweza kujivunia kama taifa.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
HATIMAYE Mahakama ya Rufani nchini kesho inatarajia kutoa hukumu ya mwanamuziki mahiri wa muziki wa dansi nchini, Nguza Viking, maarufu kwa jina la ‘Babu Seya’ na wanawe watatu. Watoto hao wa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Tumekuwa na tatizo na kiwanja chetu kuvamiwa na mijitu yenye pesa ambayo haina hati za ardhi. Hata baada ya kuwaelewesha askari wa kituo cha Kawe juu ya tatizo hili wao wameendelea kujibaraguza...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
jamani nimeshangazwa sana na hili leo hii pale sali alipopewa mh dokita silaa akauliza iweje internal auditor awepo kwenye audit comitee tena kama katibu,...sasa how come anajichunguza mwenyewe...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Kama asingekuwa shemeji yangu ningesema ana akili za kitimoto weazir simba alliulizwa majuzi inakuwaje kuhusu sakata la rada akiwa na akili zake timamu ajanywa pombe aliijibu ajapata taarifa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ni nini hii maneno? Ni wapi palipoanzia kuharibika? Na je wakati huo tulikuwa wapi, hadi mambo yanafika huku? Ni jana tu, ndugu na jamaa yangu huyu, alipata simu ya kufiwa na babake mzazi...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
AFISA mtendaji wa kijiji cha Marambeka wilayani Bunda, mkoani Mara, Kipa Kigombe (52), amefikishwa katika mahakama ya wilaya ya Bunda, akituhumiwa kumkata masikio, Shaga Isaka, kwa madai ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…