Sophia simba amerogwa ama ndio upeo wake wa mwisho??

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,778
Kama asingekuwa shemeji yangu ningesema ana akili za kitimoto
weazir simba alliulizwa majuzi inakuwaje kuhusu sakata la rada
akiwa na akili zake timamu ajanywa pombe aliijibu ajapata taarifa
wakati huo huo taarifa zimezagaa mpaka jf,achilia hilo akaombwa
atafute hzo taarifa akasema anasubiri zimfikie ndipo ajue atafanya nini
mmmmm kweli rais hapa una mgodi
 
Wakati mwingine napata ugumu sana kujua ni vigezo gani JK ametumia kuwapata baadhi ya mawaziri wake akiwemo huyu mama Sophia Simba. Pamoja na kuwa JK anadai kuwa hakuna chuo cha kusomea uwaziri ila huyu mama ni hana uwezo wa kuwa waziri. Licha ya hivyo amekuwa mjeuri na akitoa kauli tata tena kwa kujiamini sana au ndio BBQ ya muugwana kwa hiyo huo utumbo anaozungumza anamvumilia tu??
 
Back
Top Bottom