mjukuu2009
Member
- Jul 6, 2009
- 89
- 4
Umasikini Tanzania unasababishwa na nini ikiwa vitu vyote vinavyoweza kufanya nchi ijitosheleze tunavyo!!Tuna kila kitu kinachotakiwa Duniani lakini sisi bado ni masikini kwa miaka zaidi ya 45 ya uhuru,Tanzania tuna
1.Mbuga za wanyama za kutosha (Serengeti,Gombe,n.k)
2.Tuna mapori ya ufagaji mengi tu.
3.Bahari kubwa
4.Maziwa kama victoria,tanganyika,nyasa n.k
5.Nguvu kazi ipo maana tunakaribia milion40 wengi ni vijana ambao atuna ajira.
6.Mifugo ipo yakutosha Ngombe,Mbuzi n.k
7.Aridhi nzuri ya kilimo ipo yakutosha mfano mikoa kama Tanga inaongoza kwa kusitawisha matunda n.k
8.Tuna milima na vivutio vingine vinngi vya utalii kama Kilimanjaro,meru,mapango ya Amboni n.k
9.Nchi aina machafuko,
10.Madini yako mengi watu wa njee wanachukua bure mfano Tanzanite,almasi,zaabu ,uranium,makaa ya mawe n.k
11.Tuna maeneo mengi ya kufanya kazi za Uvuvi kama bahari ya indi,ziwa victoria n.k
Sasa hivi ni baadhi ya mali na utajiri wetu,kwanini tunakuwa masikini!?mimi ni na imani tunakuwa masikini kwa sababu ya utawala mbovu wa Serikali inayotawala kwa mazoea tokea 1961 akuna barabara za kuunganisha nchi,vyuo vikuu ni vichache,Hospital chache nazilizokuwepo azina vifaa,Viwanda tuna wapa watu wa njee kwa bei ya bure.
Pesa yote ya walalaoi inapelekwa kwenye uchaguzi na sasa wameleta tena vitambulisho vya uraia,mtu anakuwa na kitambulisho ambacho akimsaidi kitu awezi kupata panadol hospital kwa kutumia kitambulisho.
Naomba wana JF mnisaidie nini chanzo cha umasikini,
Ehe Mungu shuka uje kuwaukumu awa mafisadi waliyojiuzia nchi wao na familia zao,ukawalaani wao na vizazi vyao.