Mishahara Hii Balaa Tupu

Mishahara Hii Balaa Tupu

TANURU

Senior Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
162
Reaction score
9
Wakuu,

Kweli sisi nchi zisizoendelea. Yaani mshahara wa mwezi mmoja wa Drogba unaweza kulipa Maprofesa zaidi ya 320!!!! kila mwezi hapa nchini kwa wastani wa shilingi milioni 3.0 kwa kila Profesa kwa mwezi.
 
Back
Top Bottom