Polisi kawe wanakula rushwa sana

Boney E.M.

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2007
Messages
425
Likes
10
Points
35

Boney E.M.

JF-Expert Member
Joined Jan 22, 2007
425 10 35
Tumekuwa na tatizo na kiwanja chetu kuvamiwa na mijitu yenye pesa ambayo haina hati za ardhi. Hata baada ya kuwaelewesha askari wa kituo cha Kawe juu ya tatizo hili wao wameendelea kujibaraguza eti hawaingilii masuala ya Viwanja- Je ni kweli? Inawezekana maafisa wa ardhi na askari hawa lao moja. Matatizo haya yako zaidi ktk maeneo ya viwanja vya Mbezi Beach. Namshauri Bw Mwema awe anawahamisha askari wa kawe baada ya kukaa muda mfupi kwani wanazoeana sana na maafisa ardhi.
 

TIMING

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2008
Messages
21,829
Likes
137
Points
160

TIMING

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2008
21,829 137 160
hivi polisi ndio wanajukumu la kuhamisha wavamizi?

ushauri wangu ni kwamba wasiliana na watendaji wako, nenda wilayani (pale magomeni) kwqni kuna watu na mabaraza husika, baada ya hapo utapatiwa taratibu na misaada, ukimaliza ndio waeza kwenda polisi na wizarani

kuanzia polisi nadhani sio protocol kwenye mambo ya ardhi... la sivyo hiyo system ingekua abused

BTW, angalia usije kuwasemea wakaku-Jerry Muro, be careful na hawa watu
 

Mahesabu

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2008
Messages
5,105
Likes
719
Points
280

Mahesabu

JF-Expert Member
Joined Jan 27, 2008
5,105 719 280
WATAKUJA KUDAI RISITI YA SILAHA UNAYOMILIKI, NA USIPOKUWA NAYO LUPANGO....!
BE CAREFUL WHEN THROWING STONES TO "NYUMBA YA MACHIZI"
"........SILAHA: Kisu anachotumia mama watoto jikoni kukatia mboga"
 

Forum statistics

Threads 1,191,696
Members 451,730
Posts 27,717,962