Lakini Yana Mwisho Haya...! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lakini Yana Mwisho Haya...!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by PakaJimmy, Feb 9, 2010.

 1. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #1
  Feb 9, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,231
  Likes Received: 329
  Trophy Points: 180
  Ni nini hii maneno?

  Ni wapi palipoanzia kuharibika?

  Na je wakati huo tulikuwa wapi, hadi mambo yanafika huku?

  Ni jana tu, ndugu na jamaa yangu huyu, alipata simu ya kufiwa na babake mzazi huko kwao Mbeya, akakusanya familia yake(mke na watoto), wakaondoka Dar kuelekea eneo la tukio, wakiwa na usafiri binafsi.

  Wakiwa wanapita eneo la Mikumi usiku wakavamiwa na majambazi, wakaporwa kila walichokuwa nacho(fedha, simu, documents, mabegi etc), wakaachwa hawana msaada.
  (true scene, nimepigiwa leo)
   
 2. N

  Nanu JF-Expert Member

  #2
  Feb 9, 2010
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,224
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mikumi is a notorious place. 2009 rafiki yangu naye alivamiwa vivyo hivyo naye alikuwa anakwenda kwenye msiba. Kinachosikitisha ni kwamba polisi wanafahamu hayo yote lakini hawachukui hatua kama vile kuweka barrier na kusindikiza magari yakishakuwa mengi. Hii inaweza kupunguza huu unyama unaofanywa na hawa majambawazi.
   
 3. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #3
  Feb 9, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  ANGALIZO:

  NIMELAZIMIKA KU-EDIT HII OST ILI NIELEWEKE VIZURI.

  SINA UGOMVI WOWTE NA HUYU NDUGU ALIYEPATA AJALI, BALI NIMETOA MCHANGO WANGU WA MAWAZO KULINGANA NA HALI HALISI YA JAMII YETU ILIVYO HASA KUHUSU UHUSIANO WA ALIYENACHO NA ASIYE NACHO. CHA KUSIKITISHA ZAIDI, HATA FAMILIA ZIMEATHIRIKA SANA TA TOFAUTI HIZI ZA KIUCHUMI KATIKA JAMII. HIVYO UNAPOSOMA APA TAFADHARI UWE NEUTRAL NDIO UTANIELEWA VIZURI.

  NAMPA POLE SANA NDUGU YETU ALIYEPATA AJALI NA NAMUOMMBEA APONE HARAKA NA FAMILIA YAKE. NI KAWAIDA KWA JAMII YETU KUTAFAKARI MAISHA KWA MAPANA YAKE PALE TUNAPOPATA TUKIO LA KUSIKITISHA KAMA MSIBA , AJALI NK. NAOMBA SOTE TUTUMIE TUKIO HILI KUTAFAKARI NAMANA TUNAVYOISHI NA NDUGU NA MAJIRANI ZETU TUREKEBISHE MAISHA YETU NDIPO TUTAKUWA WANA WA MUNGU KWELI. MMBARIKIWE SANA NA POLE KWA WOTE WALIOKWAZWA NA POST HII

  MUNGU AWAPE AMANI.

  amejua kwamba yana mwisho baada ya kukutana na wakora wa mujini?????????

  alipokuwa anakula mkate na kutupa mingine wakati anajua kuna masikini wamemzunguka hakujua kuwa yana mwisho pia?????????

  alitaka kuwahi msibani kisha awasimange ndugu zake masikini walioshindwa kuhudhuria mazishi kwa kushindwa hata nauli tu kuwa "hawashiriki shughuli za kifamiliya" na yeye aonekane anapenda familia kuliko wengine?????

  je alifikiria japo kumsaidia ndugu yake mmoja masikini nauli naye ashiriki msiba, au hakujua kuwa "yana mwisho" nayo???????
   
 4. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #4
  Feb 9, 2010
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  hey!wat are u toking about?wea in the hell are u found?I dnt think there is a place for u on earth!u sound like an ..........dnt wanna finish.
   
 5. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #5
  Feb 9, 2010
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  ooooooooops,tanzania nchi yangu Amani yako iko wapi?
   
 6. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #6
  Feb 9, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  you pull it all towards whre you belong!!!!!!!!!!!!! ghosh!!!!!!!!
   
 7. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #7
  Feb 9, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 42,163
  Likes Received: 37,660
  Trophy Points: 280
  sasa hao wanaofanya uvamizi huo ni kina nani?
  je hamna mkono wa wanajeshi wa mapeshi yetu kama polisi, jeshi la kulinda nchi, na jeshi la wanyama pori?
  hebu tujiulize, miaka nenda rudi wimbi hilo la uporaji linaendelea, na wala hatuwahi kusikia mtu kukamatwa.
   
 8. bht

  bht JF-Expert Member

  #8
  Feb 9, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  we naye!!!!!!!!!!!!
   
 9. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #9
  Feb 9, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  it needs great mind and great thinking capacity to understand,

  poleni
   
 10. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #10
  Feb 9, 2010
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 5,119
  Likes Received: 1,565
  Trophy Points: 280
  du,naona wewe ndo jambazi mwenyewe.
   
 11. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #11
  Feb 9, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,565
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Duh, Wape Pole Mzee PJ, Eneo la kati ya Mikumi na Daraja mbili kama unaelekea Iringa au Mbeya ni Hatari sana nyakati za Usiku, nasikia wanaofanya huo Uharamia ni Wanavijiji wa Maeneo hayo kama unasafiri halafu ukafika Mikumi kweye saa Moja ni bora ulale ili uendelee na safari kesho yake
   
 12. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #12
  Feb 9, 2010
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 5,119
  Likes Received: 1,565
  Trophy Points: 280
  mkuu mbaya wenu huyu hapa chini

   
 13. bht

  bht JF-Expert Member

  #13
  Feb 9, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  you mean great thinker ndo mbaya wao????
   
 14. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #14
  Feb 9, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,231
  Likes Received: 329
  Trophy Points: 180
  Kweli, alivyorespond huyu mtu anaonyesha kuwa aidha anahusika, au anawajua wahusika. Mazingira ya post yake yanamuweka Prime Suspect!
  AK, EMBU WEKA SAWA HII MANENO NDUGU!
   
 15. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #15
  Feb 9, 2010
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  twin akili kichwani ndo g8t thinker????????????????????????
   
 16. bht

  bht JF-Expert Member

  #16
  Feb 9, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  eeeeeeh!!!!
   
 17. bht

  bht JF-Expert Member

  #17
  Feb 9, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  akili ya nani nyembamba unataka kusema?
   
 18. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #18
  Feb 9, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  nimeisharekebisha kwa kutanguliza angalizo, naona imeshika wadau pabaya, sory kwa usumbufu uliojitokeza, kama bado marekebiso zaidi yanahitajika tuwasiliane

  thanks
   
 19. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #19
  Feb 9, 2010
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  ah ah ah ah twin u made my deiiiii,I like it
   
 20. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #20
  Feb 9, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,834
  Likes Received: 249
  Trophy Points: 180
  Mkuu Akili KumuVufu (not kichwa)

  Learn to sympathize with others - no matter what great MIND or THINKING you claim to posses it is inhumane to cheer when someone somewhere is in great pain! Wa-Kurd hawakufurahia kunyongwa kwa Saadam Hussein! This did not fix their FUNDAMENTAL problems - Hata hawa waliopora huyu jamaa na familia yake hawatasuluhisha MATATIZO yao - Hiyo njia siyo sahihi na wala sustainable by any chance...

  Poleni kwa maswhaibu hayo - Naamini kama kila mtu atawajibika kwa nafasi yake aliyonayo haya yote yatafika mwisho.
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...