HII Kitu Hii Kitu HIIII

HII Kitu Hii Kitu HIIII

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,142
Reaction score
166,073
Sometimes iko ngumu kama big g mpya,
some times soft kama Big g iliyoliwa hadi kuisha utamu.
Ukiikubali inakupa raha ikikuvamia inakuumiza,
hii kitu ni tamu hadi watu wanajiua kwa kuona imeenda kwa wengine.
hii kitu ni soo bwana.
 
mmmmmmmmmmh dori dori nimeokota kidu...................................
 
mmmmmmmmmmh dori dori nimeokota kidu...................................

hehhehhe..naona hapa tumeanza mambo ya amfumbo mfumbie mjinga....

Buji buji ijumaa mbona iko mbali?
 
Bujibuji fafanua tafadhari mambo ya primary tulishamaliza sasa tunawaza kusomesha wajukuu zetu ..No chemsha bongo tena
 
Sometimes iko ngumu kama big g mpya,
some times soft kama Big g iliyoliwa hadi kuisha utamu.
Ukiikubali inakupa raha ikikuvamia inakuumiza,
hii kitu ni tamu hadi watu wanajiua kwa kuona imeenda kwa wengine.
hii kitu ni soo bwana.

siku izi imekuwa upupu ukikupata tu utajikuna majipu mwili mzima mgeni huyo balaa
 
Sometimes iko ngumu kama big g mpya,
some times soft kama Big g iliyoliwa hadi kuisha utamu.
Ukiikubali inakupa raha ikikuvamia inakuumiza,
hii kitu ni tamu hadi watu wanajiua kwa kuona imeenda kwa wengine.
hii kitu ni soo bwana.

Hii kitu si chuma,ngeshaliwa na kutu,
haifanani na nyama,imtoe denda mtu,
sio wali wala sima,kuitaja sithubutu,
ina asili ya unyama,weza kupa utukutu,
 
Hii Kitu!! No idea unaongelea kitu gani!
 
watuuuuuuuuuuuu ppppppppppppppiiiiiiiiiiipppppppppppppppppppppppoooooooooo
 
Back
Top Bottom