IWEJE INTERNAL AUDITOR AWE KATIBU KWENYE AUDIT COMITEE-Dokta silaa

IWEJE INTERNAL AUDITOR AWE KATIBU KWENYE AUDIT COMITEE-Dokta silaa

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,674
Reaction score
37,852
jamani nimeshangazwa sana na hili leo hii pale sali alipopewa
mh dokita silaa akauliza iweje internal auditor awepo kwenye audit comitee
tena kama katibu,...sasa how come anajichunguza mwenyewe
naibu waziri mhusika alishindwa kujibu na kuishia pumba huku akimwachia
swa;a hilo waziri mkuu....yaani seriakli imekaa kulindana lindna tu wangeweza wangempa hata ulaji mkuubwa cag wetu sema adanganyiki

job tru true
 
Back
Top Bottom