Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi ,Profesa Anna Tibaijuka, sisi ni wakulima na wafugaji wa vijiji vya Kiserian, Olkerian na Nduruma, katika Kata ya Moshono na Mlangarini jijini Arusha...
Wakazi 30 wa Kijiji cha Ihanda wilaya ya Mbozi mkoani Mbeya juzi walifikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Mbozi kujibu shitaka la kuchoma moto basi la abiria aina ya Toyota Coaster lililokuwa...
Wapendwa watanzania wenzangu kijana kwenye picha ni mtoto umri miaka 10 amepata ajali ya moto,yupo muhimbili anahitaji msaada wa chakula,fedha na matibabu kwa ujumla ni gharama.hivyo tunaomba...
Mzee Huyu Balaa!
Asubuhi huonekana mitaa ya katikati ya jiji la Dar es Salaam akijifanya mlemavu wa miguu akiomba omba, jioni huonekana kweye kumbi za starehe akipata ulabu.
Mzee mmoja ambaye...
Cairo, Egypt (CNN) -- Thousands of people who filled the streets of Cairo on Tuesday hope their demonstrations against corruption and failing economic policies will cause upheaval in the...
Mrema: CCM isilinde mawaziri
Imeandikwa na Hellen Mlacky; Tarehe: 26th January 2011 @ 07:50
Chama Cha Mapinduzi(CCM) kimetakiwa kuacha kulinda mawaziri wake wanaotoa kauli tata na kukinzana na...
Jana nilifika TRA-samora pale nje nilinasa mazungumzo ya mzungu na msaidizi wake 'Shabani why dont you give him chochote so that this nightmare can end,its been a week now'. Hiyo chochote...
Wanafunzi wa mwaka wa kwanza wa chuo cha Ruco wakiwa katika mgomo leo wakishinikiza bodi ya mikopo kuwaingiza fedha zao za kujikimu kiasi cha shilingi 300,000 kama ilivyokuwa katika vyuo cya...
Last week kikao cha CC ya CCM, kilichoongozwa na JK, kiliamua kuwa Dowans lazima ilipwe. Jana, kikao cha kamati ya wabunge wa CCM, kilichoongozwa na JK, kiliamua kuwa Dowans isilipwe.
Sasa JK...
Wanachuo wa Chuo Kikuu cha Tumaini sehemu ya Makumira wafunga barabara ya Moshi/Arusha.Polisi watumia mabomu ya machozi kuwatawanya.sour nipashe breaking news
Huwezi jua una uwezo kiasi gani kufanya mambo tofauti na yale uliyoyazoea. Binadamu kwa kawaida tunapenda kukaa kwenye hali yenye nafuu au inayotufurahisha au kufanya maisha yetu yawe laini (...
SERIKALI imesema katika muda wa miezi saba itakuwa imekamilisha kuhuisha malipo ya mishahara ya watumishi wa umma kwa njia ya elektroniki.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Menejimenti ya...
Ukisoma welcome note ya Invisible (Robot) hapo juu kwenye forum zenu utaona juu ya jina lake kaandkia kama nilivyoandika kwenye title.
Swali: Anamaana gani? Ndio itakua kifo cha JF tujiandae kwa...
Nikuta tangazo moja kwenye ubao wa matangazo kuhusu mafunzo ya computer lakini nimeshangaa kitu kimoja
Tangazo liko hivi
Kozi zitolewazo ni Introduction to Computer-50,000 Ms Word 40,000 Excel...
Katika pitapita yangu maeneo ya katikati ya mji nilishtuka nilipokuta uzio uliokuwa umewekwa kwa ajili ya kuwezesha ujenzi wa jengo la Mfuko wa Mwalimu Nyerere ukiwa umeondolewa na eneo hilo...
Oprah Winfrey revealed on her television show Monday morning that she has a half-sister she knew nothing about.
The sister, Patricia, had been kept a secret by Oprah's mother who put her up for...
Kuna taarifa kwenye website ya Ippmedia.com kuwa basi la abiria la Falcon limetekwa ktk mlima sekenke na abiria kuporwa ikiwani pamoja abiria nane kujeruhiwa na dereva kukatwa mkono.
Tunaomba...
Toka juzi niliona JF imeanzisha sehemu ya kuchart na marafiki..lakini sijaona sehemu ambayo naweza kuchart na marafiki..kama kuna mtu ambaye anatumia huduma hii naomba mnielekeze..natumia...
Feminists are obnoxious bigots and men have a raw deal: Tory MP calls for male equality
By James Chapman
Last updated at 8:23 AM on 25th January 2011
Men are increasingly the victims of...