Basi la Falcon latekwa na majambazi ktk mlima sekenke | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Basi la Falcon latekwa na majambazi ktk mlima sekenke

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Magezi, Jan 24, 2011.

 1. M

  Magezi JF-Expert Member

  #1
  Jan 24, 2011
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Kuna taarifa kwenye website ya Ippmedia.com kuwa basi la abiria la Falcon limetekwa ktk mlima sekenke na abiria kuporwa ikiwani pamoja abiria nane kujeruhiwa na dereva kukatwa mkono.

  Tunaomba mwenye details zaidi atujuze
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Jan 24, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,252
  Likes Received: 19,382
  Trophy Points: 280
  polisi si wapo arusha wanalinda watu wasilete vurugu?
   
 3. N

  Ndevu mbili JF-Expert Member

  #3
  Jan 24, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 382
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  hiyo itakua kazi ya jwtz labda!
   
 4. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #4
  Jan 24, 2011
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Lord have mercy
   
 5. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #5
  Jan 24, 2011
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Sio lazima kuchangia kila topic
   
 6. Keren_Happuch

  Keren_Happuch JF-Expert Member

  #6
  Jan 24, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 1,880
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  mhh!!! Mungu awasaidie watoke salama na pole zao!
   
 7. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #7
  Jan 24, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Pole kwa majeruhi na WAHANGA wa tukio hilo, pale sekenke ni pabaya mno. Kabla hujapanda pale huwa kuna barrier ya polisi sijui imekuwaje.
   
 8. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #8
  Jan 24, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,252
  Likes Received: 19,382
  Trophy Points: 280
  kwa nini wanashindwa kuzuia iujambazi mkuu.. hapa naongelea generally...au unajua kuwa majambazi wakikuvamia nyumbani kwako na ukawapigia hawa jamaa simu wanakujaga saa ngapi?
   
 9. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #9
  Jan 24, 2011
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Haya Kamanda... Ila upunguze mizaha kwenye mambo sensitive....
   
 10. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #10
  Jan 24, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,252
  Likes Received: 19,382
  Trophy Points: 280
  nimekupata mkuu...tuko pamoja kama dowans na wananchi
   
 11. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #11
  Jan 24, 2011
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,642
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Vipi kuhusu ule utaratibu wa askari polisi kusindikiza magari ya abiria yanaelekea huo ukanda. Umefutwa?
   
 12. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #12
  Jan 24, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  :A S-fire1:poleni wahanga wa mkasa huu...............ule utaratibu wa polisi kusindikiza magari ya abiria sio wa kutegemea sana kwa sababu sehemu nyingine polisi wanakula njama na hawa watekaji..................
   
 13. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #13
  Jan 24, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Wakipokea simu unabahati na wakishapokea simu watajidai hawajui sehemu ulipo vamiwa na ukiwaelewesha watachukua hata saa mbili ndiyo wanakuja sehemu ya tukio.....lakini wameonyesha usitadi wa kurusha risasi za moto kwawandamaji na wale walio kuwa wanadai haki zao kule mbeya.....sasa miminawaomba huo usitadi wao wakurusha risasi za moto wazielekeze kwa majambazi...
   
 14. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #14
  Jan 24, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  poleni jamani hali hii mpaka lini pls jeshi ingilia kati tokomeza karaha hii
   
 15. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #15
  Jan 24, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Hii lazima ni imesukwa; Sekenke siku hizi ni eneo salama sana ; ni wakati gani haya yametokea
   
 16. i

  ifolako Member

  #16
  Jan 24, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Badala ya baadhi ya watu kuchangia hoja kwa kuleta faida wao wanaleta utumbo!Kuweni na busara acheni ujinga!
   
 17. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #17
  Jan 24, 2011
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,919
  Likes Received: 608
  Trophy Points: 280
  Kama kawaida yako kutetea udhaifu wa serikali ya CCM!!
   
 18. Masika

  Masika JF-Expert Member

  #18
  Jan 24, 2011
  Joined: Sep 18, 2009
  Messages: 731
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  poleni wajameni
   
 19. k

  kabindi JF-Expert Member

  #19
  Jan 24, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 334
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  kwani hao MAJAMBAZI ndio wanaotaka kutuibia kupitia DOWANS? nadhani hawana tofauti ndio hao hao wamezaana sana mpaka wengine wapo milima ya SEKENKE?
   
 20. Chapa Nalo Jr

  Chapa Nalo Jr JF-Expert Member

  #20
  Jan 25, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 3,193
  Trophy Points: 280
  Ni kilomita chache tu kuingia jimbo la Rostam, barabara ni nzuri ya lami ila ule mteremko lazima uende taratibu labda hapo ndipo majambazi wanapotumia kukamata magari. Lakini ile barabara kwa sasa ina magari mengi sana hasa ya mizigo naamini kuletaka gari ndani ya dakika kumi lazima katokee ka songamano fulani ka magari.
   
Loading...