Mwalimu nyerere foundation house | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwalimu nyerere foundation house

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by taffu69, Jan 25, 2011.

 1. taffu69

  taffu69 JF-Expert Member

  #1
  Jan 25, 2011
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,089
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Katika pitapita yangu maeneo ya katikati ya mji nilishtuka nilipokuta uzio uliokuwa umewekwa kwa ajili ya kuwezesha ujenzi wa jengo la Mfuko wa Mwalimu Nyerere ukiwa umeondolewa na eneo hilo likiwa limebaki na vichaka pamoja na lundo la kifusi.

  Swali nililogubikwa nalo ni kama mradi huo umesitishwa ama ndiyo mwisho wa Mfuko wa Mwalimu Nyerere!!!
   
 2. B

  Breacher Member

  #2
  Jan 25, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hivi hawa jamaa wa Nyere foundation wana chochote wanafanya au wanganga njaa tu. naomba kujua programs zao na jinsi zinavyoimplementiwa. sina hakika sana na kama kuna kitu wanafanya. sijawahi kuona hata kwenye TV kitu chochote kinachohusinana na mfuko huu. kama tunavyoona kwa Reginald Mengi.
   
 3. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #3
  Jan 25, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Jengo lililotakiwa kujengwa ndani ya kiwanja hicho, lilizuiliwa na serikali, kwa maelezo kuwa, jengo lenyewe ni refu sana na liko karibu na ofisi ya rais (ikulu)
   
Loading...