Umewahi kufikiria kuwa na siku ya Kinyume ( Opposite Day)?

WomanOfSubstance

JF-Expert Member
May 30, 2008
5,457
956
Huwezi jua una uwezo kiasi gani kufanya mambo tofauti na yale uliyoyazoea. Binadamu kwa kawaida tunapenda kukaa kwenye hali yenye nafuu au inayotufurahisha au kufanya maisha yetu yawe laini ( comfort zone).

Unaweza kujishangaza mwenyewe pale utakapotoka kwenye urahisi na kujaribu magumu na ndipo utashangaa ni fursa ngapi zimekuwa zinakupita kila siku bila kujua.

Hii ni changamoto tunayopaswa kujaribu maishani.
 
Noted with thanks......
 
Back
Top Bottom