Issue ya Dowans: JK yuko upande gani?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Issue ya Dowans: JK yuko upande gani??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mawenzi, Jan 25, 2011.

 1. Mawenzi

  Mawenzi JF-Expert Member

  #1
  Jan 25, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,261
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Last week kikao cha CC ya CCM, kilichoongozwa na JK, kiliamua kuwa Dowans lazima ilipwe. Jana, kikao cha kamati ya wabunge wa CCM, kilichoongozwa na JK, kiliamua kuwa Dowans isilipwe. Sasa JK yuko upande gani?? Je hii ni dalili ya kuwa JK anashindwa kuendesha vikao?? Je pia ni dalili ya mambo yalivyo shaghalabaghala ndani ya CCM?? Au??

  Nawasilisha
   
 2. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #2
  Jan 25, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,774
  Likes Received: 83,114
  Trophy Points: 280
  Siku zote Kikwete amekuwa upande wa mafisadi. Inalekea ana mgao wake huko ndiyo maana anapigia debe kulipa mapesa hayo haraka haraka.
   
 3. J

  Jibaba Bonge JF-Expert Member

  #3
  Jan 25, 2011
  Joined: May 6, 2008
  Messages: 1,224
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Kwani wana hisa huwa wanakuwa upande gani?
   
 4. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #4
  Jan 25, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,230
  Likes Received: 4,951
  Trophy Points: 280
  Ni mwanahisa
   
 5. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #5
  Jan 25, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  Mpwa, mi bado sijaona swali lako hapo, yaani umeuliza jibu, maana kwa maelezo yako, JK si ndio Mwenyekiti wa CC na CCM na hao ndio waliotoka na msimamo huo, sasa mpwa, swali liko wapi hapo, jibu JK yupo upande wa mafisadi.
   
 6. A

  Awo JF-Expert Member

  #6
  Jan 25, 2011
  Joined: Apr 12, 2010
  Messages: 790
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 45
  Hili swali huwa najiuliza kila siku. Mkuu wa Nchi yuko upande gani kwa masuala muhimu ya nchi hii? Naona kama vile ukilaza unamfanya asiwe na upande, anasubiri upepo halafu atakuja na hotuba ya mwisho was mwezi kwamba na yeye anakubalina na upepo ulipoelekea i.e suala la TANESCO kutaka kununua mitambo ya DOWANS.
   
 7. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #7
  Jan 25, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  kwa hili hana tofauti na lowasa katika richmond,tofauti iliyopo ni kuwa yeye bado hajajiuzulu!
   
 8. 3D.

  3D. JF-Expert Member

  #8
  Jan 25, 2011
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 1,022
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ni kwamba hata yeye hajui upande aliopo.
   
 9. pcman

  pcman JF-Expert Member

  #9
  Jan 25, 2011
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 744
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  bado yupo yupo kwanza
   
 10. Mess

  Mess JF-Expert Member

  #10
  Jan 25, 2011
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 667
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  JK kuna mawili kwanza yeye na wenzake ndio wanaodai, sasa kama rais wa nchi hawezi kushinikiza ulipwaji hadharani na pia hawezi akasema zisilipwe uhamishoni ataishije?
   
 11. Drifter

  Drifter JF-Expert Member

  #11
  Jan 25, 2011
  Joined: Jan 4, 2010
  Messages: 1,968
  Likes Received: 670
  Trophy Points: 280
  Mwanahisa tu? Mbona mnamshusha hadhi. Yeye pia kama bosi wa serikali ndiye PDG (Président et Directeur Général) wa mkakati mzima wa Dowans. Si tu anasubiri mkwanja bali anauelekeza mapito yake.
   
 12. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #12
  Jan 25, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Msanii utamjua tu sababu siku zote huwa kama bendera, akiona upepo unaelekea kushoto nae kushoto, ukibadilisha uelekeo na kwenda kulia nae ataelekea huko...... hapo ndio inabidi kutafakari nia za dhati za viongozi wetu.....
   
 13. BRUCE LEE

  BRUCE LEE JF-Expert Member

  #13
  Jan 25, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 2,089
  Likes Received: 1,158
  Trophy Points: 280
  este presidente es un pendejo. No tiene sentimiento. Es malismo.
   
 14. GATS

  GATS JF-Expert Member

  #14
  Jan 25, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 240
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ina maana mpaka sasa hamfahamu kuwa huyu jamaa anakaa tu ilimradi siku zinapita tu. kazi kuchekacheka tu.
   
 15. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #15
  Jan 25, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Jamani, mmesahau ile post ya malaika ndani ya jf?, ni kwamba yote makubwa ndani ya nchi lazima mkubwa afaidi.- dowans, EPA, richmond, meremeta et cetera.
   
 16. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #16
  Jan 25, 2011
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Hata yeye hajui yuko upande gani kama vile asivyojua kwa nini sisi masikini
   
 17. l

  lukule2009 Senior Member

  #17
  Jan 25, 2011
  Joined: Sep 23, 2009
  Messages: 132
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Yuko kwenye asilimia 70% ya nendera fuata upepo anaangalia unakovuma
   
Loading...