Wabongo tumepinda hata Wazungu wameshindwa

uporoto01

JF-Expert Member
May 23, 2008
4,700
1,415
Jana nilifika TRA-samora pale nje nilinasa mazungumzo ya mzungu na msaidizi wake 'Shabani why dont you give him chochote so that this nightmare can end,its been a week now'. Hiyo chochote ilivyotamkwa(chouchoute) ilikuwa burudani tosha.Nikawaza jamani rushwa imetapakaa kiasi hata wageni inabidi watoe ili kuokoa muda wao,hii kiboko.
 
Very sad and shame
Inachekesha na kuliza at same time
 
halafu akitoka hapo akiandika jinsi rushwa ilivyoota mizizi tz tunamtukana.
 
Back
Top Bottom