Mathias Byabato
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,049
- 773
Nikuta tangazo moja kwenye ubao wa matangazo kuhusu mafunzo ya computer lakini nimeshangaa kitu kimoja
Tangazo liko hivi
Kozi zitolewazo ni Introduction to Computer-50,000 Ms Word 40,000 Excel 40,000 E mail and Interenet 40,000 nk
my take
Hivi mafunzo haya yanaweza kumsadia mtu kupata ajira hapa bongo? Hivi kuna watu wanafundishwa Ms Word.
Hivi na Email ni somo?
Lakini nimeambiwa kuwa chuo kimejaa wanafunzi