Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

KUFUATIA Binti Osama bin Laden kushuhudia baba yake akiuawa, Serikali ya Marekani imemweka katika ulini mkali na kumchunga nyendo zake kutokana na kuwa kipenzi cha baba yake.Gazeti la Time la...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Hivi karibuni wakati Mhe. Rais alipotembelea mawizara na taasisi za umma, kuna masuala mengi ambayo watumishi wa umma walidadisi. Kubwa ambalo lilijitokeza ni utaratibu uliotumika na watu wa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Elimu ya demokrosia nchini inahitajika sana, ili wananchi wengi waelewe haki zao za demoksia ndani ya nchi yao ili waweze kujikomboa ktk makucha ya watawala wa kiimla. Elimu hiyo ya demokrasia...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
WanaJF! Kifo cha huyo Gaidi haina tofauti na ile kifo (Kimvuli) ya yule Gavana (Mfu) yenye wasiwasi mpaka leo kwangu na kwa baadhi ya Ndg wengi wenye uchungu na nchi yao yenye kila sbb ya wa2 wao...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Ninaomba wana JF, yeyote mwenye username na password ya Hinari anitumie tafadhali!!.Natanguliza shukurani
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wengi tumesikia ushuhuda wa baadhi ya watu wanaosema kwamba wametibiwa na babu lakini hizo zote ni hearsay bado sijaona uthibitisho wa kisayansi unaaonyesha uponyaji huo. Kwa hiyo yoyote...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
WanaJF za masiku?? Nimekuwa nikitafakari suala hili nikajikuta nakosa majibu sawa. Hivi chakula cha taifa letu (national food) ni kipi? kwa mfano kwa Uganda ni matooke i.e. ndizi za matoke...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Nachukua nafasi hii kumpongeza mke wangu na akina mama woote popote pale walipo........muendelee kuwatunza vema waume, watoto wenu na jamii inaowazunguka.....
0 Reactions
0 Replies
1K Views
http://www.youtube.com/watch?v=&feature=player_embedded
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Juzi tumeona majirani zetu wa Kenya na Uganda wakiandamana kupinga mfumuko wa bei, kupanda kwa bei ya mafuta na ugumu wa maisha kwa ujumla. Tanzania tumekaa kimya, mafuta yanapanda bei kila...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Salam Wakuu! Ni kwa muda mrefu nimekuwa nikifanya uchunguzi ktk majengo yetu muhimu na baadhi ya ofisi hasa zile zilizopo jijini Dar. Kwa muda huo wote nimegundua udhaifu wa kiwango cha kutisha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WanaJF: kiukweli hili linakera sana kwa mh Godbless lema na katibu wa kanda ya dar es salaam mkuu Kilewo kuacha kuendelea na sangara na kurudia mbeya mjini na kuendelea kufanya mambo yao wenyewe...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kama sijasahau tu, babu alipoanza kutoa tiba, wengi walimshauri atoke pale aende mahali palipo na miundombinu safi ili iwe rahisi kwa watu kufika bila shida na kupata mahitaji yao bila shida...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
:A S-baby:nashanga kuona mji ambao ni makao makuu ya nchi,mji ambao bunge la nchi linafanyia vikao vyake pale sitand ya basi kuwa kama ile ,hata kama wanampango wa kuhama inawachukua muda gani...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ijumaa ya tarehe 6/5/2011 wanachuo wa cbe dodoma wamefungua rasmi tawi la chadema. Mwenyekiti ni Naomi Mrutu.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Friday, May 6, 2011, 5:42 Makala na Uchambuzi, Rai Na John Kibasso JUHUDI za Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete za kutaka kukinusuru chama baada ya kubaini kwamba...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
"Maovu ya CCM sasa basi" Mwinjilisti Faustin Munishi Wananchi wapendwa yangu ni machache sana leo. Maisha yetu na watoto wetu ni muhimu kuliko chama chochote cha siasa. Hakuna sababu ya kuwa...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
By: Petronella Murowe “For poor people like us, education should be an instrument for liberation.” (Nyerere). The rights to education and access to information are fundamental human rights...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Closed
Kwa kile ambacho CCM wanaamini kuwa JF inamilikiwa na CHADEMA na kuwa tishio kwa Chama tawala kama ambavyo Mwenyekiti msaidizi wa Chama Pius Msekwa alivyosema,na baada ya Hussein Bashe kukiri kuwa...
2 Reactions
59 Replies
5K Views
Vietnam seizes another container of ivory from Tanzania BY GEOFFREY NANGAI AND AGENCIES VIETNAMESE customs authorities discovered nearly 600 kilograms of elephant tusks hidden in a shipping...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…