Stand ya basi dodoma ni aibu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Stand ya basi dodoma ni aibu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Biscuit, May 8, 2011.

 1. B

  Biscuit Member

  #1
  May 8, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :A S-baby:nashanga kuona mji ambao ni makao makuu ya nchi,mji ambao bunge la nchi linafanyia vikao vyake pale sitand ya basi kuwa kama ile ,hata kama wanampango wa kuhama inawachukua muda gani ni aibu tena nasema ni aibu sehemu ni ndogo, haina mpangilio mzuri,watu wanapika vyakula kwa kuzunguka stand iliyo ndogo inatisha wahusika walione hilo
   
 2. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #2
  May 8, 2011
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,927
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  I was also shocked nilipoenda Dodoma kwa mara ya kwanza! Ni aibu tupu hii nchi.
   
Loading...